Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Missing you more Jimena...
u hali gani uliye mbali na upeo wa macho yangu![]()
mi ni buheri wa afya, nimefurahi kukuona tena hapaMissing you more Jimena...
u hali gani uliye mbali na upeo wa macho yangu![]()
mi ni buheri wa afya, nimefurahi kukuona tena hapaTeh teh teh...inawezekana pia alikuwa nke ya ntu..kaamua kurudi kwa mumewe baada ya kuona ATM haisomi..Pole kwa msiba wa kuachwa.
Umetoka kusoma barua nini..!?zile za enzi zileeMissing you more Jimena...
u hali gani uliye mbali na upeo wa macho yangu![]()
Mambo mengi Shem, mke mwenzangu mzima lakini?Shemeji nipo sana, mbona unapotea hivyo?
Ule uzi ulikuwa hauwalengi kapuku'z pekee yake, bali ulikuwa unaongelea maisha halisi yanayoendelea hapa JF! Mtoa mada amejiunga mwaka juzi hivyo huwezi kusema na yeye ni mkongwe hapa JF.Rudi nyuma huko Jana wakongwe wameanzisha thread "Hatimae matabaka yameingia Jf" na kuandika makorokoro na matusi kibao dhidi ya MAKAPUKU Mimi nilikuwa nawasoma tu ....
Sasa hivi Mods wameufunga na kuuleta hapa...si WLIZOEA KUBEBWA wakafikiri moderator atawakaushia TU...
.........................
Nimefurahi pia kukuona vipi habari za mwisho wa week?![]()
mi ni buheri wa afya, nimefurahi kukuona tena hapa
Ndio mkuu vijana wa siku hizi hawawezi kujua hayo maneno ya sanduku la posta...Umetoka kusoma barua nini..!?zile za enzi zilee
Nzuri sanaaaaa..... Si unajua yale mambo yetuNimefurahi pia kukuona vipi habari za mwisho wa week?
mwisho wa wiki ndo wakati muafaka mana hamna kaziNzuri sanaaaaa..... Si unajua yale mambo yetu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mwisho wa wiki ndo wakati muafaka mana hamna kazi

Not me eitherUmetisha sana they say week end is for pombe,pub and pu**
Btw that's not me![]()
![]()

Both of usNot me either![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Asante mkuuPole kwa msiba wa kuachwa.
AbsolutelyBoth of us![]()

Nini tena??Aisee