Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ukisikia bangi ndio hizi, yani Mexence Melo na Mike Mushi wakae waumize akili, waje na idea waanzishe Jambo forum ife halafu waanzishe JF na kuiendesha kwa shida, leo hii thread ya chitchat inaitwa ubunifu!!

Sasa nimeelewa kwa nini China miaka 23 mtu injinia lakini Bongo umri huohuo utakuta ni admin wa group la wasapu.
Ndiyo maana wizara ya afya wanasisitiza watoto wanyonye mpaka miaka miwili ifike, bila hivyo madhara yake ni makubwa kama haya.
 
Kama anavyosema UncleBen, hili swala la matabaka siyo geni JF, mifano michache ni:-

- Wanawake over 30 wanavyobaguliwa humu (kwa sasa naona kama imepungua kidogo)
- Single mothers kila siku wanapondwa
- Nyumbu (aka wazungusha mikono) vs Lumumba BK7
- Wagalatia vs Wazee wa milipuko
etc

Hawa Makapuku wameenda next level kutengeneza forum yao, kama hawamtukani mtu mi naona sawa tu.
Ongeza na hii
Wanaume wa dar vs Wanaume wa mikoani
Wabeba box vs wala vumbi
Wafia dini vs wazee wa thibitisha Kama mungu yupo
Warusi wa kitanzania vs wamarekani wa kitanzania
Kandambili(wafuga vyura) vs mikia

Kwa hiyo mitabaka yapo. Ila kiukweli inakela Sana nakumbuka 2013 unakuta ameweka post au ametofautiana na MTU amejiunga mda mrefu JF Utaona anakoment kwa kuweka details sake za JOIN DATE, LIKES RECEIVED, LIKES GIVEN, REP POWER, POSTS. HAlafu MTU wenyewe umejiunga juzi halafu unajifanya unajifanya unajua watu tupo tangu JAMBO FORUM.yaani MTU mpaka unashangaa kisa tu kutofautiana kwa hoja.
 
TAARIFA KWA UMMA

MABADILIKO YA URUSHAJI WA MATANGAZO YA RADIO NA

TELEVISHENI WAKATI WA VIKAO VYA BUNGE
___________

1.0. UTANGULIZI

Ili kuhakikisha kuwa Matangazo ya Bunge yanaendelea kurushwa na Televisheni nyingi hapa Nchini. Ofisi ya Bunge imeamua kuboresha mfumo wa urushaji wa Matangazo ya Bunge kwa Bunge lenyewe kurusha Matangazo ya Vikao vyake pamoja na Vipindi mbalimbali vyenye Maudhui kuhusu Shughuli za Bunge ambazo hazijapata fursa ya kufahamika vyema kwa umma kuanzia katika Mkutano ujao wa Bunge la Bajeti unaoanza tarehe 19 Aprili, 2016.

Huu ni Utamaduni wa kawaida kwa kila Bunge hususani Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola kuwa na Studio yake kwa lengo la kurusha Matangazo ili yawafikie wadau kwa lengo la kurusha kupitia vituo vyao.

Jukumu la kurusha Matangzo ya Vikao vya Bunge litafanywa na Bunge lenyewe kupitia FEED MAALUM ili kurahisisha kila Kituo cha Radio na Televisheni kupata Matangazo hayo kwa sehemu walipo bila kufunga Mitambo yao Bungeni Dodoma.

2.0 UTARATIBU MPYA WA URUSHAJI MATANGAZO

Ili kuhakikisha kuwa vituo vya Redio na Televisheni vinapata matangazo ya Bunge, kila kituo cha Televisheni na Redio kitatumia Masafa ya Matangazo ya Bunge (Frequencies) bure kupitia FEED MAALUM itakayorushwa na Satellite ya INTELSAT 17 ambayo iko nyuzi 66 Mashariki kwa masafa yafuatayo:

3.0 HITIMISHO

Mabadiliko haya hayataathiri usajili wa Waandishi wa Habari wengine kuja Bungeni kwa ajili ya kufanya Coverage ya Shughuli za Bunge ambazo hazihusishi kuingiza kamera ndani ya ukumbi wa Bunge. Utaratibu huu mpya, utakuwa umesaidia kuondoa hali ya kila Kituo cha Televisheni kufunga Mfumo wake wa Kurusha Matangazo kutoka ndani ya Ukumbi wa Bunge, Dodoma na badalayake yatapokelewa katika Vituo vya Televisheni na Redio kupitia Masafa tajwa hapo juu. Utaratibu huu ni wa kawaida katika

Mabunge takribani yote Duniani husani wanachama wa Jumuiya ya Madola.

Imetolewa na:
Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano,
Ofisi ya Bunge
DAR ES SALAAM.

15 Aprili, 2016.
 
Kuna sehemu sijaelewa vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom