Makapuku Forum

Makapuku Forum

EeWerawerawera
Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.

Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.

Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku prezidaa Bitoz shukrani kwake sana.

Members
EMMYGUY
ibra87
sizzya007
Nahrene
cute b
lizziebettie
UncleBen
peterchoka
nyumbatatu
dekitambi
HULILO
Kawalala93
damtanzania
Mama mkubwa
Thoomas
youngblood
tawa driller
SongeaOne
eden kimario
KABUGHA
Sambusa kavu
shaban lee
Nafsi huru
hassandady
Shemtibuko
sumbai
mabesela
dog 1
aggyjay
Elly_corner
Teacher on duty
willy fredy
PNC 1
jambilo
Powder

Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.

Karibu sana

Bitoz
JF Makapuku Founder

Jimena
JF Makapuku assistant Founder

Th Name JF Makapuku assistant Founder
Weraweraaaaaa! Makapuku katika ubora wetu, hafu ujue sisi ndo tunafanya Sana thread za hao wanaojiita wakongwe ziende, Kama vipi tufanye mgomo WA Ku comment thread zao hata kwa siku 3 Tu, iwe mwendo WA kusoma kimyakimya, then tunakuja kupiga story uwanja WA nyumbani hapa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom