Ongeza na hii
Wanaume wa dar vs Wanaume wa mikoani
Wabeba box vs wala vumbi
Wafia dini vs wazee wa thibitisha Kama mungu yupo
Warusi wa kitanzania vs wamarekani wa kitanzania
Kandambili(wafuga vyura) vs mikia
Kwa hiyo mitabaka yapo. Ila kiukweli inakela Sana nakumbuka 2013 unakuta ameweka post au ametofautiana na MTU amejiunga mda mrefu JF Utaona anakoment kwa kuweka details sake za JOIN DATE, LIKES RECEIVED, LIKES
GIVEN, REP POWER, POSTS. HAlafu MTU wenyewe umejiunga juzi halafu unajifanya unajifanya unajua watu tupo tangu JAMBO FORUM.yaani MTU mpaka unashangaa kisa tu kutofautiana kwa hoja.