kamtu33
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 998
- 409
Salama kabisa naona forum imechangamka mpaka raha.Kwema mkuu,mambo vipi?
Hongera Bitoz kwa ubunifu huu...
Salama kabisa naona forum imechangamka mpaka raha.Kwema mkuu,mambo vipi?
China: Fursa za biashara, usafiri na masokoUkimjua binadamu hatokusumbua ... Matola anataka kutuletea zilipendwa hapa .
Bado hajatokeaWeekend hii wanawake wataadimika sana,naona wewe pia yamekukuta.

Huwa napita mara chache kule ila nitajitahidi kupita tena, Kuileta kwako hapa imesaidia pia kwa wale ambao hawajapitia jukwaa la ujasiriamali, Pole kwa kushambuliwa kwa maneno.....umeeleweka vyema.Pamoja sana...
Unaweza enda jukwaa la ujasiriamali kuna issue za kilimo kule utapata ujuzi zaid
Makapuku wenzangu kwema humu ndani?
Tayari mkuu fungua kleeKupenda ndugu yanguuu
Nilishaihaid Man U ntaipenda kwa shida na raha
Oohhh karibu sana na kule nyumbani kwetu OT......zawadi ya gari kwenye Harusi Yako inakuhusu.Kupenda ndugu yanguuu
Nilishaihaid Man U ntaipenda kwa shida na raha
Pamoja sana mkuu.Yapo njema kabisa
Sana mkuu,huku hakuna karaha.Salama kabisa naona forum imechangamka mpaka raha.
Hongera Bitoz kwa ubunifu huu...
Bado tu.Bado hajatokea![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Amaizing shem, umemwona Peter na Mariam! (Pm)Tayari mkuu fungua klee
Uliza mkuu Makapuku tunakusikilizaNaomba niulize swali la uchokozi
kuna haja gani ya kuweka link hiyo hapa? amaizing ametoa wazo ni wajibu wetu kama wana kapuku forum kulichukua kama changamoto, na kama kuna ambaye ataona limempendeza atakuwa na uamuzi wa kumtafuta amazing au kulifanyia kazi moja kwa moja.
Figa moja halipiki babuBado tu.
Hebu nipe ushauri jirani
.........ukiona manyoya....

Uliza mkuu.Naomba niulize swali la uchokozi
Uliza mkuu Makapuku tunakusikiliza