Makapuku Forum

Makapuku Forum

1478854412191.jpg
 
Mimi nahisi kule sasa hivi wameshapafanya kama jukwaa la dini au jukwaa la wakubwa.
Hivyo unatakiwa upate access ya kuwa kule.
Cja muhimu embu waPm alafu usubiri mrejesho
Sawa kapuku
Dukuduku langu ni kufahamu tu....sina mpango wa kwenda kukomenti wala kuanzisha uzi kule kwa "maGreat Sinkers"

Halafu zile nondo mpya za Ze Bodi kule jukwaa la Intelejensia ni shida....Jamaa hana mpinzani mi sikosagi kumsoma ila tu napitaga kimya kimya

Analitendea haki jukwaa sio wale wazee wa kutwa kubishana bila evidence kuhusu Mungu yupo au hayupo

........
 
Let great sinkers sink
 
E banaaa eeh! Ze bold yuko fit kwa kweli, huwa hata mimi namfuatiliaga kimya kimya,
Ndo mana majukwaa nnayoyapenda ni CHIT CHAT na INTELJENSIA tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom