Hivi uliwezaje kuchangia ule uzi wa Nguruwe5 kuhusu Uchaguzi USA?Naona unataka tugawane majengo ya serikali!View attachment 432418[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Na binadamu hata umfanyie jema gani atakusaliti tusi kila rafiki ni mzuri kwako kuwa makini kuchagua rafiki anayekufaa,ni bora uwe na rafiki 3 wa kweli kuliko uwe na rafiki 300 wasiowakweli,wanafki wanaong'ata na kupuliza wa vipindi maalum
Poa, Mambo niajeeendugu zangu vp
kama kawa MishePoa, Mambo niajeee
[emoji23] yule alikuwa ni mnazi wa Clinton, baada ya Trump kushinda akavyata mkia.Hivi uliwezaje kuchangia ule uzi wa Nguruwe5 kuhusu Uchaguzi USA?
........
Nimekuuliza[emoji117] access[emoji23] yule alikuwa ni mnazi wa Clinton, baada ya Trump kushinda akavyata mkia.
[emoji15] nashangaa eti mtu anajifanya ni mchambuzi wa nchi za watu na ajifanya anajua kila kitu.
Mwisho wa siku wameingia aibu
[emoji41] Access = nilikuwa nimelewaNimekuuliza[emoji117] access
.......
Nimekuuliza swali siriazi unajibu kiutani[emoji41] Access = nilikuwa nimelewa
Oukay, Kumbe ni hivyo..!Nimekuuliza swali siriazi unajibu kiutani
[emoji117] Umewazaje kuchangia ule uzi wakati wengine tumebaniwah/atuwezi kukomenti?
.........
Ila nakumbuka kipindi cha nyuma baada ya kufungiwa kule nlishawahi kumtumia Pm maxcensi mello kuwa anipe access ya kuleNimekuuliza swali siriazi unajibu kiutani
[emoji117] Umewazaje kuchangia ule uzi wakati wengine tumebaniwa/hatuwezi kukomenti?
.........
AmenMungu atupe mkate wa leo
Kiswahili kigumuNimekuuliza swali siriazi unajibu kiutani
[emoji117] Umewazaje kuchangia ule uzi wakati wengine tumebaniwa/hatuwezi kukomenti?
.........
Lugha gonganaKiswahili kigumu
Prisons imemchanganyaKiswahili kigumu
Kazi vp?Amen
OKIla nakumbuka kipindi cha nyuma baada ya kufungiwa kule nlishawahi kumtumia Pm maxcensi mello kuwa anipe access ya kule
Zinaenda kakaKazi vp?
Mimi nahisi kule sasa hivi wameshapafanya kama jukwaa la dini au jukwaa la wakubwa.OK
Naendelea kudadisi mikikosa jibu nitauliza lMwmbers Only
.......