Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kifo pekee ndo kitamtoa ikulu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.....
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kifo pekee ndo kitamtoa ikulu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.....
Itakuwa safi sana![]()
Karibuni wadau
Tunapunguza pengo hadi Point 2
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Kwema shemla habari ya kupoteaKwema humu ndani???
Basi mwororohsafi mkuu, tupo
Poa TetraKwema
. vipi
Njema, tupo mishe zinatuweka Busy, tunaingia JF kimachaleKwema shemla habari ya kupotea
Kuwa s iliasi mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Guys kuna nyumba inauzwa milioni 8 ipo vizur ina vyumba 3 kimoja master choo cha public sebule fensi parking ipo, ina alama ya X sema inafutika
Haya[emoji23] [emoji23]Kuwa s iliasi mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una utani na watu humu sio bureeWakati mama yako anahangaika kukuombea wewe jna lako CHAUSIKU MABILAU ili ufanikiwe
We unajibadili jina kujiita NICKY PWETY SWAGZ BARBIE LICIOUS VIDIMPOZ
My dear sister unawachosha MALAIKA kukutafuta[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Wengine hatuna radio, hivyo hatujasikia.Matokeo ndo km mlivyosikia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Hata JF hujaona au[emoji780]Wengine hatuna radio, hivyo hatujasikia.
Laudit Mifugo kasawazisha DK ya 100 kapokea pande la Sinza KichuraWengine hatuna radio, hivyo hatujasikia.
Mambo kikofiaHabari zenu?
HBD Jens1969 - Jens Lehman anazaliwa.
Ni golikipa wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani.