Makapuku Forum

Makapuku Forum

Fuatilia mwandiko wao pia km sehemu nyingi wanasapotiana kwa mareply au swaga zao km zinafanana

Mfano huyo bwege anajiita Mtakatifu page ya nyuma mwangalie mwandiko utagundua unafanana kaja kuzingua na kujireply kwa ID nyingine
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Huyo miss kuna mahali nimefuma ID yake nyingine[emoji1]
 
Kesho wachezaji wa kagera sugar wote watasimamishwa
a183abb54102dfb8ac0d9e87ea7113b4.jpg

Huyu tumbo joto ndo kaamua kukuza mambo
Basi na wao walimuhonga Barthez goli la kona ya Sinza Kichura
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
 
Mpira wa kibongo zengwe Kila sehemu
Wkt Ulaya mtu anapigwa 8
Pia mechi 1 kipa/beki anafungisha bao 2+ mfano Smalling dhidi ya Chelsea sekunde tu ya 34 kaichoma timu ingekuwa Bongo maneno mengi
Pia goli la kujifunga dk ya majeruhi la Paddy McNair(Sunderland) dhidi ya Man City
John Stones v Southampton
Fellaini v Leicester (community shield)
.....
 
Wkt Ulaya mtu anapigwa 8
Pia mechi 1 kipa/beki anafungisha bao 2+ mfano Smalling dhidi ya Chelsea sekunde tu ya 34 kaichoma timu ingekuwa Bongo maneno mengi
Pia goli la kujifunga dk ya majeruhi la Paddy McNair dhidi ya Man City
John Stones v Southampton
Fellaini v Leicester (community shield)
.....
Tatizo huku tunatafuta mchawi nani. Halafu hizi timu kubwa mbili ndio matatizo sana.


Kwa ulaya wanajua Ni sehemu ya mchezo ndio maana wameendelea sana
 
Back
Top Bottom