teh teh tehHongera sana kwa kuchukua nchi
Wenye pesa zao hao1955 - Bill Gates anazaliwa.
Ni mfanyabiashara na mmiliki wa kampuni ya Microsoft na tajiri namba moja kwasasa Duniani.
1956 - Mahmoud Ahmadinejad anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 6 wa Iran.
Mzee wa misimamo, Bush alinywea sana kwa Mahmoud1956 - Mahmoud Ahmadinejad anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 6 wa Iran.
Hivi baada ya kuumia,hakurudi tena uwanjani?1980 - Alan Smith anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Leeds United, Man United na Newcastle United pamoja na timu ya taifa ya England.
Alisifika sana kwa ukorofi wake.
Nammiss sanaMtukutu...
Huyu naye alidanganya umri1984 - Obafemi Martins anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Inter Milan, Newcastle na Timu ya Taifa ya Nigeria.
RIP2014 - Michael Sata anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa 5 wa Zambia.
Asante dikteta, na pia leo ni siku yako ya kuingia madarakaniLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Bill Gates niwatakie siku njema.
Ijumaa Kareem.

Sie wengine tuna vijisentiWenye pesa zao hao
Jamaa ni mbabe pia.Mzee wa misimamo, Bush alinywea sana kwa Mahmoud
Ahsante sana.View attachment 425495View attachment 425496View attachment 425497
Asante sana Dj Cobblepots kwa udhamini mnono asubuhi ya leo,
Sina la zaidi kutoka katika magazeti
Niite Jimena Jimenes nawatakia weekend njema na yenye furaha tele
Nawapenda wote
Alirudi lakini sio katika ubora wake ule.Hivi baada ya kuumia,hakurudi tena uwanjani?
Asante kwa magazeti ya leo katibu wetuView attachment 425495View attachment 425496View attachment 425497
Asante sana Dj Cobblepots kwa udhamini mnono asubuhi ya leo,
Sina la zaidi kutoka katika magazeti
Niite Jimena Jimenes nawatakia weekend njema na yenye furaha tele
Nawapenda wote
Eti ndio kwanza ana miaka 32. Uongo ulioje?Huyu naye alidanganya umri
Niliingia kiubabe na nikatoka kiubabe.Asante dikteta, na pia leo ni siku yako ya kuingia madarakani![]()
![]()
![]()
![]()