Makapuku Forum

Makapuku Forum

5ec48087a624ce2a5aed362f04a00837.jpg
 
Halafu nimekuona sehemu unahangaika na yule Monnie ...ni mwanaume mwenzako km hujamshtukia fuatilia hata mwandiko wako halafu ID yake nyingine ni Cleopatra

"Unaweza kuwadanganya watu wote kwa wakati fulani au watu fulani kwa wakati wote ,lakini huwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote"

Hapa Jf kuna midume mingi inatumia ID za kike ili tu kuwachezea watu akili hata Mrembo wa wachaga kakaa kidumedume namtilia mashaka
.........
ujue mm nilienda kumchana, maana nashangaa watu wanampapatikia sana..
Yani akianzisha thread lazima igonge platinum
 
ujue mm nilienda kumchana, maana nashangaa watu wanampapatikia sana..
Yani akianzisha thread lazima igonge platinum
Lile ni dume....
Mi huwa thread yoyote napitia comments siwi na kiherehere cha kupost mara nyingi nagundua ni chai tu hivyo nashit
Mfano ule uzi "nimepata mke mwema*" ni fix tu

Ila mrembo wa wachaga ni demu sema usela mwingi
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom