Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,268
1956 - Mahmoud Ahmadinejad anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 6 wa Iran.
Alikuwa ni Rais wa 6 wa Iran.
1962 - Mwisho wa " Cuban Missile Crisis "
Ni baada ya kiongozi wa Urusi kuagiza Urusi kuondoa silaha zake za nyuklia ndani ya Cuba.
Huu ulikuwa ni mgogoro kati ya Urusi na Marekani uliojikita ndani ya Cuba.
1964 - Marekani yakataa kuhusika katika mashambulizi ya mabomu huko Kaskazini mwa Vietnam wakati wa vita maarufu ya Vietnam iliyopigwa miaka ya 1960's - 1970's.
Happy Birthday Alan Smith1980 - Alan Smith anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Leeds United, Man United na Newcastle United pamoja na timu ya taifa ya England.
Alisifika sana kwa ukorofi wake.
2007 - Cristina Fernandez anachaguliwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke nchini Argentina.
Asante sana kwa historia mwenyekitiLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Bill Gates niwatakie siku njema.
Ijumaa Kareem.
Mtukutu...Happy Birthday Alan Smith
1955 - Bill Gates anazaliwa.
Ni mfanyabiashara na mmiliki wa kampuni ya Microsoft na tajiri namba moja kwasasa Duniani.
Hongera sana kwa kuchukua nchiLeo Katika Historia:
1922 - Benitto Mussolini na kundi lake wanaongoza maandamano makubwa ndani ya Jiji la Rome na kuiangusha serikali iliyokuwa madarakani.
Baada ya hapo, Mussolini anaingia madarakani na kutawala kwa mkono wa chuma.
Pamoja sana.Asante sana kwa historia mwenyekiti