Makapuku Forum

Makapuku Forum

1980 - Alan Smith anazaliwa.

Ni mchezaji wa zamani wa Leeds United, Man United na Newcastle United pamoja na timu ya taifa ya England.

Alisifika sana kwa ukorofi wake.
Screenshot_2016-10-28-09-21-17.png
Screenshot_2016-10-28-09-25-08.png
Screenshot_2016-10-28-09-26-28.png
IMG_20161028_092737.jpeg
 
1981 - Milan Baros anazaliwa.

Ni mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Aston Villa, Portsmouth na timu ya taifa ya Jamhuri ya Czech.

Alichukua ubingwa wa ulaya akiwa na Liverpool mwaka 2005.

Pia mwaka 2008 alichukua ubingwa wa kombe la F.A akiwa na klabu ya Portsmouth.
HBD Milan, nyota yake ilififia kiajabuajabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom