Makapuku Forum

Makapuku Forum

Waache wakae huko huko kwenye Makapuku forum wakishajifunza kuanzisha mada na kuchangia mada watakuwa comfortable kuhamia huku kwa wakongwe... Ni sawa tu na kujifunza kuendesha gari. Ushawahi kumuona mtu anajifunzia high way?
 
f68d31a812e60f32f27c6a5979e0d26d.jpg

Muuaji
...........
Timu yangu mimi ni majanga.
 
Kuna wanao kesha yani kutwa nzima wako jamii forums 24/7. Ivi kazi au shughuli zao wanafanyaga saa ngap ??

Cz binafsi si kila wakati nipo humu unless ni notification ya kitu muhimu nafatilia. Si hukumu mtu though.
71% eti hatutaki kazi. Tangaza ajira uone mwitikio. Tutacheza pool na kushinda JF. CCM OYEE!
 
Wanasahau kuwa huku ni mafekero accounts hadi comments, sasa tatizo la jf watu hupenda kuangalia comments na Ku creates imagination kuwa huyu yuko njema, ana ringa dharau sijui nini ndo tatizo lilipo. Jf ukimind Bussiness zako na kufanya sehemu ya kushare ideas, kujifunza na kusoma habari lazima uenjoy.
umeongea vema tatizo kuna chama flani cha siasa wao siasa muda wote hawajui .....hata shetani alifukuzwa mbinguni kisa siasa
 
Waache wakae huko huko kwenye Makapuku forum wakishajifunza kuanzisha mada na kuchangia mada watakuwa comfortable kuhamia huku kwa wakongwe... Ni sawa tu na kujifunza kuendesha gari. Ushawahi kumuona mtu anajifunzia high way?
mkuu mimi nipo makapuku lakini katika kuanzisha MABANDIKO nadhani mpaka wewe na hao wakongwe Kiumri watupu kichwani hampati Kitu. Nishapata Tuzo kibao.. so labda Urudi wewe Ukajifunze
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom