Makapuku Forum

Mkuu ibra87 nimepitia comment mbili tatu, mfano ipo inayodai kuwa no likes, no reply, sasa mkubwa hivi vitu navyo Ni vya ku-complain? Au nini msingi wa malalamiko pengine sijaelewa maudhui. Nifahamishe mkuu.
Hata mimi nimeshangaa, kumbe raia wanazitaka likes kwa nguvu sikuwahi kujua.Sasa utapewa vipi likes au reply kama unaandika pumba ? Huna hoja! alafu ukishazipata hizo likes zinaongeza nini? nimefatilia nimeona haka kamchezo kameanzia fesibuku na huko insta, watu wanalilia followers na likes kwa nguvu sasa kameletwa na jf. Hizi ni fikra za kitumwa tu.
 
tafuta jibu langu kisha uje tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…