Makapuku Forum

Makapuku Forum

1985 - Wayne Rooney anazaliwa.

Ni staa wa Man Utd na timu ya taifa ya England. Anajulikana kama " Wazza " akifananishwa na kiungo matata wa enzi hizo Paul Gascoine " Gazza ". Ni shabiki mkubwa wa Everton.

Ni moja kati ya wachezaji wa Kiingereza aliyekuwa na kiwango kikubwa katika enzi zake.

Ameshinda kila taji kwa level ya klabu.

Anakumbukwa kwa goli la Tik Tak dhidi ya Man City katika ligi kuu na goli lilichaguliwa goli bora la miaka 20 ya EPL.

Ndiye mfungaji bora wa wakati wote katika timu ya taifa ya England huku klabuni akiwa amebakiza magoli 9 awe mfungaji bora wa kihistoria wa klabu hiyo.

Kwasasa ameanza kupoteza makali yake, ikashiria mwisho wa zama umewadia.
Happy Birthday Rooney
 
Rooney atabaki kuwa Rooney
Hapendwi na Waingereza hata rekodi yake ya magoli haiimbwi...angekuwa Owen au Beckham(model) ungeona kelele zao
.....
Mie huwa nawaita waingereza wanafki.. Tena wanafk mnoo.. Ktk mataifa yanayojitahid kiheshimu watu ni italia na ujeruman.. Nadhan angekuwa mjeruman still angeaminika
 
a7a4978e60e70102a069b310b77bbfc4.jpg

CAF Champions League Winners
Mamelodi Sundowns
......
Hongera yao..
 
Back
Top Bottom