Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
Poa sanaPoa, vip kaka mkubwa..
Poa sanaPoa, vip kaka mkubwa..
Njema za kwako?Habari za mchana family
Hii fiksi tu
Za kwangu njema dadakeNjema za kwako?
Au Eto'o alivyouzwa kimajungu Barca kisa alikuwa anafunga sana wazungu wakamuogopa kiaina.Okwiuiiiiii
Alikatazwa kupiga penalti?
Akapiga Kaseja
Au nimekosea
Duniani hujuma kila kona
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Mfano wa wazi kabisa, Pele anatajwa kama mchezaji bora wa wakati wote kisa kachukua kombe la dunia mara tatu hiyo ikiwa moja kati ya sababu.Nashangaa vitu vya zamani vinatukuzwa sana maishani hata km enzi zao chanfamoto nilikuwa chache
.....
Musso mamboMfano wa wazi kabisa, Pele anatajwa kama mchezaji bora wa wakati wote kisa kachukua kombe la dunia mara tatu hiyo ikiwa moja kati ya sababu.
Katika hizo mara tatu, Mara ya kwanza kachukua mwaka 1958 pale katika ardhi ya Sweden akiwa kinda wa miaka 17 hivyo kwa hesabu nyepesi hakuwa tegemeo ndani ya timu.
Mara ya pili akachukua mwaka 1962 katika michuano iliyofanyika pale Chile, Pele alicheza mechi mbili tu kabla ya kuumia na kukosa sehemu kubwa ya michuano hiyo huku akirudi mechi ya fainali. Shujaa wa michuano akawa Garrincha wa Brazil.
Mara ya tatu, Pele alibeba kombe la Dunia mwaka 1970 pale Mexico. Brazil safari hiyo walikuwa hatari sana, walikuwa na timu inayotajwa kama timu bora ya wakati wote, safari hii Brazil shujaa wao akiwa ni Jaizinho ambaye alifunga goli katika kila mechi yaani kuanzia ile ya ufunguzi mpaka ile ya fainali. Brazil ilienea mastaa kama Tostao, Carlos Alberto, Coldoado na wengineo.
Hapo tunapata jibu, Pele hakuwahi kuwa hata mfungaji bora achilia mbali mchezaji bora wa mashindano hayo.
Bali alizungukwa na mastaa waliokuwa wana uwezo sana.
Pia katika levo ya klabu Pele hakuwahi kucheza Ulaya, ambapo ndio kuna soka la ushindani hasa ukilinganisha na Amerika ya Kusini na Amerika ya kaskazini hivyo akashindwa kukutana na mabeki wa shoka na wakatili waliosifika katika miaka hiyo ya 1960-1970's. Hivyo hizo goli 1000 alizifunga kwa mabeki wachovu.
Unamuitaje mwanasoka bora wa wakati wote?
Poa, adje kamandaInakuwaje kongoliz
Mukongo mamboPoa, adje kamanda
Ndivyo nyota zilivyoMfano wa wazi kabisa, Pele anatajwa kama mchezaji bora wa wakati wote kisa kachukua kombe la dunia mara tatu hiyo ikiwa moja kati ya sababu.
Katika hizo mara tatu, Mara ya kwanza kachukua mwaka 1958 pale katika ardhi ya Sweden akiwa kinda wa miaka 17 hivyo kwa hesabu nyepesi hakuwa tegemeo ndani ya timu.
Mara ya pili akachukua mwaka 1962 katika michuano iliyofanyika pale Chile, Pele alicheza mechi mbili tu kabla ya kuumia na kukosa sehemu kubwa ya michuano hiyo huku akirudi mechi ya fainali. Shujaa wa michuano akawa Garrincha wa Brazil.
Mara ya tatu, Pele alibeba kombe la Dunia mwaka 1970 pale Mexico. Brazil safari hiyo walikuwa hatari sana, walikuwa na timu inayotajwa kama timu bora ya wakati wote, safari hii Brazil shujaa wao akiwa ni Jaizinho ambaye alifunga goli katika kila mechi yaani kuanzia ile ya ufunguzi mpaka ile ya fainali. Brazil ilienea mastaa kama Tostao, Carlos Alberto, Coldoado na wengineo.
Hapo tunapata jibu, Pele hakuwahi kuwa hata mfungaji bora achilia mbali mchezaji bora wa mashindano hayo.
Bali alizungukwa na mastaa waliokuwa wana uwezo sana.
Pia katika levo ya klabu Pele hakuwahi kucheza Ulaya, ambapo ndio kuna soka la ushindani hasa ukilinganisha na Amerika ya Kusini na Amerika ya kaskazini hivyo akashindwa kukutana na mabeki wa shoka na wakatili waliosifika katika miaka hiyo ya 1960-1970's. Hivyo hizo goli 1000 alizifunga kwa mabeki wachovu.
Unamuitaje mwanasoka bora wa wakati wote?
Naamini Ronaldio de Lima ni bora kuliko PeleMfano wa wazi kabisa, Pele anatajwa kama mchezaji bora wa wakati wote kisa kachukua kombe la dunia mara tatu hiyo ikiwa moja kati ya sababu.
Katika hizo mara tatu, Mara ya kwanza kachukua mwaka 1958 pale katika ardhi ya Sweden akiwa kinda wa miaka 17 hivyo kwa hesabu nyepesi hakuwa tegemeo ndani ya timu.
Mara ya pili akachukua mwaka 1962 katika michuano iliyofanyika pale Chile, Pele alicheza mechi mbili tu kabla ya kuumia na kukosa sehemu kubwa ya michuano hiyo huku akirudi mechi ya fainali. Shujaa wa michuano akawa Garrincha wa Brazil.
Mara ya tatu, Pele alibeba kombe la Dunia mwaka 1970 pale Mexico. Brazil safari hiyo walikuwa hatari sana, walikuwa na timu inayotajwa kama timu bora ya wakati wote, safari hii Brazil shujaa wao akiwa ni Jaizinho ambaye alifunga goli katika kila mechi yaani kuanzia ile ya ufunguzi mpaka ile ya fainali. Brazil ilienea mastaa kama Tostao, Carlos Alberto, Coldoado na wengineo.
Hapo tunapata jibu, Pele hakuwahi kuwa hata mfungaji bora achilia mbali mchezaji bora wa mashindano hayo.
Bali alizungukwa na mastaa waliokuwa wana uwezo sana.
Pia katika levo ya klabu Pele hakuwahi kucheza Ulaya, ambapo ndio kuna soka la ushindani hasa ukilinganisha na Amerika ya Kusini na Amerika ya kaskazini hivyo akashindwa kukutana na mabeki wa shoka na wakatili waliosifika katika miaka hiyo ya 1960-1970's. Hivyo hizo goli 1000 alizifunga kwa mabeki wachovu.
Unamuitaje mwanasoka bora wa wakati wote?
poa aje?Musso mambo
Poa sana mkuupoa aje?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] huyu Mfalme kaja na kataMfalme wa moroko amekuja na watu 1000 walioandamana nae
So what!!!Mfalme wa moroko amekuja na watu 1000 walioandamana nae
MonsiurPoa, adje kamanda
No problem big brother amrkuja kuhakikisha tanzania ya viwanda inafauluSo what!!!