makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,429
- 108,445
Morng ndugu zangu
Morng broMorning all
Inakuwaje kongolizMorning Shu.....Goodmorning peoples
1903 - Melvis Pulvis anazaliwa.
Alikuwa ni FBI mashuhuri ambaye alisifika sana kwa kupambana na wahalifu wakorofi katika miaka ya 1930's. Wahalifu hao ni kama akina John Dillinger na wengineo.
Aliacha kazi katika mazingira ya kutatanisha kabla hajafa kifo cha utata.
Kipigo cha 4 O'clockAsante lakini sio kwa kipigo kile.
Soon watarud naskia..2003 - Ndege aina ya Concorde yafanya safari yake ya mwisho kibiashara.
Figisu figisu zilikuwa za kutosha hii game, nadhan hata fa hawakupenda arsenal kuvunja rekod n kuweka yao2004 - Klabu ya Arsenal yafungwa na Man Utd na kusitishiwa rekodi yake ya kutofungwa kwenye ligi kuu ya Uingereza.
kabla ya hapo ilicheza mechi 49 bila kufungwa na kuchukua ubingwa bila kufungwa.
Alimalizwa..1903 - Melvis Pulvis anazaliwa.
Alikuwa ni FBI mashuhuri ambaye alisifika sana kwa kupambana na wahalifu wakorofi katika miaka ya 1930's. Wahalifu hao ni kama akina John Dillinger na wengineo.
Aliacha kazi katika mazingira ya kutatanisha kabla hajafa kifo cha utata.
1966 - Roman Abramovich anazaliwa.
Ni mfanyabiashara wa Kirusi na mmiliki wa klabu ya Chelsea.
Morning makaveliMorng ndugu zangu
Rooney kwenye ubora wake, alikuwa ananukia sifa kedekede, sasa maskin ananuka kashfa na matusi tu, kweli tenda wema uende zako
Na ndio timu yake imeikong'oli mashetan pale mjin kati1966 - Roman Abramovich anazaliwa.
Ni mfanyabiashara wa Kirusi na mmiliki wa klabu ya Chelsea.
Inakuwaje ndugu yangu!?Morning makaveli
Poa kabisa kiongozi, vp pande hizoInakuwaje ndugu yangu!?