Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hawezi kuvunja rekodi. Kuna kitu flani kinatengenezwa rekodi ya Sir Bobby iendelee kusimama.
Aahh.. Basi huo ni uhun n nt fair kabsa kwa Rooney aliyejitoa man u kwa jasho na damu yake.. Bobby charlton atabak kuwa bobby charlton heshima yake itabak pale pale, hata rooney avunje rekod vipi.. Sababu rekod si mashindano ila ni kumbukumbu za mchango wa mtu kwa timu.. So mazur yake hayawez kufutika..
 
Ndio hivyo, ni kama yule mchezaji wa simba yule mganda, siku ya mechi ya yanga na Simba alizuiwa asifunge gori la Tatu, ili asivunje record ya kibadeni
Yah ni kweli. Matokeo yake akaenda kupiga Kaseja, what a joke?

Hata Gary Lineker alipojaribu kuvunja rekodi ya Sir Bobby kwenye national team akafanyiwa hujuma. Mechi yake ya mwisho akiwa amebakiza goli moja akakataliwa kupiga tuta halafu akatolewa.

Hakuwahi kuitwa tena national team na hapo ndipo akastaafu mwenyewe.

Ila Rooney amejitahidi ameipita National team ila klabuni sidhani...
 
Kaipita kwa kuwa alikuwa bado kijana na timu inamuhitaji, Sasa upande wa pili sasa ndio majanga
 
Aahh.. Basi huo ni uhun n nt fair kabsa kwa Rooney aliyejitoa man u kwa jasho na damu yake.. Bobby charlton atabak kuwa bobby charlton heshima yake itabak pale pale, hata rooney avunje rekod vipi.. Sababu rekod si mashindano ila ni kumbukumbu za mchango wa mtu kwa timu.. So mazur yake hayawez kufutika..
Kingine kinachomfelisha Rooney, ni kuwa wahafidhina wa Man Utd hasa wakiongozwa na Sir Alex wanamuona sio mwenzao. Yaani yupo pale kimaslahi lakini sio kimapenzi kama akina Rio, Scholes, Giggs nk
 
Yah ni kweli. Matokeo yake akaenda kupiga Kaseja, what a joke?

Hata Gary Lineker alipojaribu kuvunja rekodi ya Sir Bobby kwenye national team akafanyiwa hujuma. Mechi yake ya mwisho akiwa amebakiza goli moja akakataliwa kupiga tuta halafu akatolewa.

Hakuwahi kuitwa tena national team na hapo ndipo akastaafu mwenyewe.

Ila Rooney amejitahidi ameipita National team ila klabuni sidhani...
Uzandiki wa hali ya juu.. I hate this.. Kila mmoja aachwe muda wake uzungumze.. Haina maana maana akitokea mtu kivunja rekod ya henry eti heshima yake itashka.. Jibu ni lah.. Messi kaja barca lakin johan Cruyff na legends wengine still hawajasahaulika n heshima iko pale pale
 
Back
Top Bottom