makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,429
- 108,445
Bado kwangu he is the best..Wazza siku zake zimekwisha, majira yajayo ya kiangazi bila shaka atakuwa anaelekea China kama si Marekani.
Mie arsenal damu ila rooney na carrick kwenye ubora wao huwa nafurah kuwatzama atleast siku hiz mata