Good boy!hapana mkuu katika watu ambao nawaheshimu na ambao hajawahi kunidharau ni wewe.. Hivyo wewe si mmoja kati ya hao. Kwahiyo niwie RADHI katika hilo
bora mnuka mkojo kuliko wewe mnuka kinyesi.. katika watu ambao ni wakudharau ni weweHuyo ni mnuka mkojo wala asikuumize kichwa.
Mkuu kuwa mpole....Toka kuzaliwa kwangu hakuna siku ambayo nimepata hasira kama leo.
Kwakweli inaniuma sana, hivi hizi dharau zitaisha lini lakini.?
Shemeji kuwa mpole si unajua biskuti dawa yake maji tu...Hiyo miaka ni namba tu ila hamna wanachojua zaid na labda ikibidi tupate kibali..Tuwachane tu..Toka kuzaliwa kwangu hakuna siku ambayo nimepata hasira kama leo.
Kwakweli inaniuma sana, hivi hizi dharau zitaisha lini lakini.?
Duu halafu mnasema wanao tukana ni makapukuPole Sana Mkuu, Hao Makupuku Wengi Wao Ni Wanuka Mkojo ( Watoto )
nakuja kwa mtoto wa BEN MTOBWA hapo BUNJUGood boy!
Ukipata nafasi uje kipande hiki cha Bunju nikupime uwezo wako wa kugida bia za baridi na nyama choma
Wengi wao vichwa box.Tuko pamoja sana na unadhani kuna kitu wanajua basi..Ni umuch know tu usio na maana..
Usijali mkuu,nimetulia.Mkuu kuwa mpole....
Wewe hatuwezi kuupoteza muda kukutishia NYAU. MDOLI ndio saizi YakoMtu mzima hatishiwi nyau
Mkuu nimepitwa na mengi basi hadi ubinafsishaji ulishafanyika kumbe...Ama bado kwenye hatua..Where is my jimena🙄🙄
Mkuu jione mwenyewe....Duu halafu mnasema wanao tukana ni makapuku
hahaha wanaume wa DarWewe hatuwezi kuupoteza muda kukutishia NYAU. MDOLI ndio saizi Yako
Wanasahau kuwa huku ni mafekero accounts hadi comments, sasa tatizo la jf watu hupenda kuangalia comments na Ku creates imagination kuwa huyu yuko njema, ana ringa dharau sijui nini ndo tatizo lilipo. Jf ukimind Bussiness zako na kufanya sehemu ya kushare ideas, kujifunza na kusoma habari lazima uenjoy.kweli diva
Mada inahusu matabaka mshaanza kuleta tambo zenu ,wewe kama huna muda wenzako wanao ,its as simple as thatSoma my previous posts zielewe na usilete personal attacks cz hunijui na hufaham naishi na kufanya shughuli gani.
Kabisa sana..Wengi wao vichwa box.
Naona vuguvugu aisee. Ila nini wataelewa tu
Muuaji
...........