Makapuku Forum


tatizo hawasomi alama za nyakati, hawajui kila kukicha mambo yanabadilika kulingana na mahitaji ya watu ....
 
wenye coment za kipuuzi ni hao wanaojiita wakongwe wakati hawafanani na wanachokifanya. Tunachokifanya ni kusapotiana Sisi Wenye Huku tukiwa makini kwa kutokuvunja Sheria na Kanuni Za Jf..
Aiseee togola
 
Mjadala kama upi sasa mkuu..Huku ndiyo sehemu pekee ya kupunguzia stress na hakika najuta kuchelewa kupafahamu huku..Ila kama una mada yeyote weka mezani vile vile..
 
With all due respect Mr. Please for the love of God and for the love of the earth....usimuite jimena ndege, please please.

Address her kama Duchess of JF, ukishindwa hivyo muite Sunrise. Please.

Her beauty is incomparable!!!
Safi kabisa unaelekea pazuri sasa kwa majina hayo lazima Jimena atabasamu kidogo na moyo utafunguka tu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…