Makapuku Forum

Makapuku Forum

1951 - Claudio Ranieri anazaliwa.

Ni kocha wa zamani wa Chelsea, Atletico Madrid, Monaco, Inter Milan, As Roma, na sasa Leicester City.

Kocha huyo wa kiitaliano maarufu kama " Tinker Man " msimu uliopita alishinda taji la EPL bila kutarajiwa na kikosi cha Leicester City.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bila kutarajia!!!
 
Nataka kwenye hatua za mitoano Arsenal akutane na Barcelona, Madrid au atlentico.
Kazi fitna tu, haya ndi tukishakutana nao.. Labda barca na atletico kidogo, madrid ishakuwa supu ya mbwaa

Halaf bahat mbaya sasa madrid na barcelona wanamalza nafas za kwanza kwenye makundi yao, arsenala nae ana nafasi nzur ya kumalza nafas ya kwanza, mchawi psg tu hapa kwenye game ya mwisho
 
Back
Top Bottom