makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,438
- 108,469
Morng shemegiiiMorning family
Morng shemegiiiMorning family
2011 - Kanali Muammar Gaddafi anafariki Dunia.
Alikuwa ni kiongozi wa Libya aliyedumu madarakani kwa miaka 42 na aliyeuwawa na waasi kwa msaada wa majeshi ya Nato.
Huyu mzungu hapo kaupokea mkono wa Kenyatta dizain kama takataka fulan hv
Kibabu kachukua kigoli
Mgomvi wa mourinho..1951 - Claudio Ranieri anazaliwa.
Ni kocha wa zamani wa Chelsea, Atletico Madrid, Monaco, Inter Milan, As Roma, na sasa Leicester City.
Kocha huyo wa kiitaliano maarufu kama " Tinker Man " msimu uliopita alishinda taji la EPL bila kutarajiwa na kikosi cha Leicester City.
Upo kaka?Morng mbarikiwa
Vumilia kidogo.. Anaanika magodoro na shuka alizozikojolea usiku..Wewe Bitoz acha masihara njoo uendelee na kazi yako huku..
[emoji124] [emoji124] mimi naenda zangu kuosha vyombo
Mkuu ndivyo nilivyoanza wakati najiunga huku, niliteleza njiani, Sasa nimemrudia MunguQuigley leo naona umeamka na mungu mungu.. Toka lini ukamjua mumgu wewe.. Au ushapata email kitabu chako cha kuish dunian kishakatwa utepe..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ungekuwa hiv siku zote saa hizi peponi ungekuwa na mabangalow first eleven
Wee weka picha bhAna usituletee hizo bablai..Kila mtu anamjua
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nilijua kuna kuvuliwa nguo huko, hivyo nilijiandaa kisaikolojia!!!Tunakusubiri sana Aubameyang, maana Messi anatutoa jashoView attachment 421217siyo kwa kipondo kile alichomshushia Manchester city
CC: werrason kuja huku utoe ufafanuzi wa team yako
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Utambulisho wa Australia huu
Thanks ShemelaView attachment 421234View attachment 421235
Kwahisani ya wa Kimataifa sina la zaidi kutoka katika magazeti.
Niite Jimena Jimenes
Muwe na furaha tena muwe nayo tele
Ciao
Nikarbie nin hapo, au kuosha sahani, maana huo msos pekee yako haukotoshi kwa jinsi unavyopakiaKaribu na wwView attachment 421288
Nataka kwenye hatua za mitoano Arsenal akutane na Barcelona, Madrid au atlentico.Nilijua kuna kuvuliwa nguo huko, hivyo nilijiandaa kisaikolojia!!!
Kwanza sikwenda kuangalia mechi!
Timu zote za EPL zinamjua Messi, aliwapiga 4!!! Labda Chelsea tu ndio wanaiweza Barcelona[emoji124]
Biti za wakoloni Enzi hizo1952 - Gavana Evelyn Baring wa Kenya anatangaza hali ya hatari nchini humo na kuanza kukamata mamia ya wakenya akiwemo Jomo Kenyatta na kuwaweka kizuizini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikarbie nin hapo, au kuosha sahani, maana huo msos pekee yako haukotoshi kwa jinsi unavyopakia
Onassis aliosha kuoa mjane wa Rais1968 - Mke wa zamani wa Rais JFK wa Marekani, Jacqueline Kennedy anaolewa na Tajiri anayemiliki meli za kifahari, Aristotle Onassis.
Hii ilikuwa ni miaka 5 baada kifo cha mumewe aliyeuwawa kwa kupigwa risasi huko Dallas.
Nipo ndugu yangu.. Vip hali!?Upo kaka?
Dah!! Jambo zuri mkuuMkuu ndivyo nilivyoanza wakati najiunga huku, niliteleza njiani, Sasa nimemrudia Mungu
Hatar sana, weka mbali na watoto..Nilijua kuna kuvuliwa nguo huko, hivyo nilijiandaa kisaikolojia!!!
Kwanza sikwenda kuangalia mechi!
Timu zote za EPL zinamjua Messi, aliwapiga 4!!! Labda Chelsea tu ndio wanaiweza Barcelona[emoji124]