makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,438
- 108,467
Hii shule inamfaa jonax..
Hii shule inamfaa jonax..
Karibu na wwMtake radhi kwa kweli!!
Shangaa na wewe jiran yangu
Wacha kutusingizia buanaKuna watu wavivu wanagonga LIKE kumbe hata hawajasoma kitu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
....
2011 - Kanali Mutassim Gaddafi anauwawa.
Alikuwa ni mtoto wa Kiongozi wa nchi hiyo na mshauri wa masuala ya Ulinzi katika Nchibya Libya.
Aliuwawa siku moja na baba yake baada ya mapambano makali dhidi ya waasi huko Sitre.
Haaaaiiiii... Kamnyweso..
Anajua swala anakushanga, wewe kuniombea mimi jiran yake vumbi la kongo, wakat yee anajua fika jiran yake niko nondo.. Shemej yake akianza vilio saa 5 usiku hyo ni mpaka adhanaya alfajiri.. Siku hyo lazma alale na mziki wa sauti ya juu.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Inamaana hujui kazi ya vumbi la congo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona Coastal na Simba ni ndugu hadi kwenye kufanya vurugu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo mzushi aliandika kapigwa 1 akaona screenshot yangu akaedit halafu akajisahau "kapigwa 1:1"
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.....
Morng mbarikiwaMorning wabarikiwa
Morng jirani..Morning all kapuku
Tired of assisting...
Wapi tz!?
Andunje.. A best player ever macho yangu kumshuhudia.. Haka kajamaa haka nux
Piga hao wauza magazetii
Wamepangwa pabov kweli, lakin heri yao wanaenda kuosha macho kuliko sie tupo tu tunawatumbulia macho..Uganda kundi la kifo.
MorningMorng nduguz