Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Leo ni siku ya Kimataifa ya Takwimu.
1961 - Ian Rush anazaliwa.
Ni gwiji wa soka wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya Wales.
Kila mtu anamjua1971 - Snopp Dogg anazaliwa.
Ni rapa wa muziki wa Hiphop tika nchini Marekani na ambaye anatarajiwa kuja nchini kwenye tamasha ka Fiesta.
Usipende utani kwenye mambo seriousKila mtu anamjua
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sawa.Usipende utani kwenye mambo serious
............
1973 - Jengo la Sydney Opera House lazinduliwa na Malkia Elizabeth II baada ya ujenzi uliochukua miaka 14.
NzuriHabari MAKAPUKU wenzangu
Morning Ankali JJMorning family
1951 - Claudio Ranieri anazaliwa.
Ni kocha wa zamani wa Chelsea, Atletico Madrid, Monaco, Inter Milan, As Roma, na sasa Leicester City.
Kocha huyo wa kiitaliano maarufu kama " Tinker Man " msimu uliopita alishinda taji la EPL bila kutarajiwa na kikosi cha Leicester City.
Wakati utazungumzaTunakusubiri sana Aubameyang, maana Messi anatutoa jashoView attachment 421217siyo kwa kipondo kile alichomshushia Manchester city
CC: werrason kuja huku utoe ufafanuzi wa team yako
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Asante sana kwa magazeti ya leo Ankali JJView attachment 421234View attachment 421235
Kwahisani ya wa Kimataifa sina la zaidi kutoka katika magazeti.
Niite Jimena Jimenes
Muwe na furaha tena muwe nayo tele
Ciao
AmenNa iwe siku njema kwetu sote
1961 - Ian Rush anazaliwa.
Ni gwiji wa soka wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya Wales.
Aisee1968 - Mke wa zamani wa Rais JFK wa Marekani, Jacqueline Kennedy anaolewa na Tajiri anayemiliki meli za kifahari, Aristotle Onassis.
Hii ilikuwa ni miaka 5 baada kifo cha mumewe aliyeuwawa kwa kupigwa risasi huko Dallas.
Aahh.. Huyo sio mtu mzur kabisa kwenye mambo ya upekupeku na kutandaza mbovuKongomani ndio mkuu wa kitengo
Amen[emoji120]Mungu akulinde
Akuondolee mikosi na balaa
Mungu Apigane na dui zako
Mungu akupe mahitaji yako leo
Mungu akupe kibali kila utendalo jema likubalike
Eee Mungu sisi tu wanao, twakukosea tusemapo, tuwazapo na kutenda. Naomba uturehemu
Km huwezi/hutaki uwe una acha na siyo kubeep beepSawa.
Endelea, nna njaa sana ngoja nikagonge Tea
[emoji125] [emoji125] [emoji125]