Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,516
- 40,632
Mh!!! Huyo mke mvumilivu mwanawani kuna wengine nusu saa ni muda mrefu kwake!!!Anajua swala anakushanga, wewe kuniombea mimi jiran yake vumbi la kongo, wakat yee anajua fika jiran yake niko nondo.. Shemej yake akianza vilio saa 5 usiku hyo ni mpaka adhanaya alfajiri.. Siku hyo lazma alale na mziki wa sauti ya juu.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]