Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,701
mkuu kuna bloggers pia kazi yao ni kushinda kwenye mitandao kutafuta habari na kuhabarisha jamii .. hivyo kama wewe ni mkulima utashangaa ni kwa nini kuna watu wapo humu 24/7
powa powa mkuu ...mkuu achana nao hawa wajinga.. Wanachotaka ni Kupambana na Kupata watu katika kupambana nasi..
wewe unaakili ndio maana umeliona hilo, wenzako hao wanaojiita wakongwe ndio wanaoiharibu jf kwa kuleta Matabaka.. Jf haiwezi kuendelea kwa upuuzi unaoletwa na Wanaojiita WakongweMkuu huu Uzi wako umefanya nitafute hiyo thread ya makapuku forum!
Huwa naona hiyo thread lakini sikuwahi kuifungua, jukwaa ilipo huwa sitembelei Mara kwa Mara. Ule Uzi naona Kama Ni malalamiko fln, kwa nini malalamishi?
Kwa wakulima mkuu huko... Acha ipige mavuno yawe makubwaArusha since morning
Mm mwenyewe nilikuwa shamba mkuuKwa wakulima mkuu huko... Acha ipige mavuno yawe makubwa
Nahisi hapa nimepitwaSawa mkuu,nilikuwa nimeanza kujibu mapigo lakini nimeona tukaushe tu kwasababu tukianza kujibizanaa tutawapa nguvu.
Wataelewa tu mdogo mdogo..Yaani linapendezaa ajabu...usifanye mchezo,ni vile jf hakuna kitufe cha sauti..ungesikia namna jina la beybi wangu linavyokonga moyo nikiita kimahaba.
Was kidding...Shekhe wangu umeamua kunifananisha na ngedele ungabu😱😱, niombe samahani asee
Nashukuru kusika hivyo..Niko poa shemeji
Hahahahah ila kama wewe umeridhika nalo hakuna shida..Eti honey..kuna watu wakorofi humu wanaponda jina lako...
Hujapitwa mkuuNahisi hapa nimepitwa
Komaa nao tu mtumishi hadi waelewe..Hata samaki wenye majina mabaya ndo watamu..eg changu ndo samaki mtamu...we waache hawezi kutamka...jambilo unatamka...jeimbilio
Mkuu ibra87 nimepitia comment mbili tatu, mfano ipo inayodai kuwa no likes, no reply, sasa mkubwa hivi vitu navyo Ni vya ku-complain? Au nini msingi wa malalamiko pengine sijaelewa maudhui. Nifahamishe mkuu.wewe unaakili ndio maana umeliona hilo, wenzako hao wanaojiita wakongwe ndio wanaoiharibu jf kwa kuleta Matabaka.. Jf haiwezi kuendelea kwa upuuzi unaoletwa na Wanaojiita Wakongwe
Kama miee....Mansheeder Ubwegeted
Real Madrid
Yanga
...........
Nimekusikia mkuunitafurahi sana hii nguvu kazi ya vijana wa JF mnaojiita makupuku,mje kuongeza nguvu ktk majukwaa ya kenya forums ili watanzania tuzidi kuwatoa kamasi wakenya ktk mijadala mbalimbali.
tatizo lenu wengi wenu huwa mnashinda MMU kutufuta kick kwa mademu.
hamuwezi kushiriki ktk mijadala mizito ambayo inahitaji kichwa smart kujenga na kupangua hoja.
CC Kimweri Geza Ulole MK254 MOTOCHINI et al