Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,786
Asante beybe..nilikumiss ujue..Niko hapa mamy, nilienda kule, nawe fungua uone
Asante beybe..nilikumiss ujue..Niko hapa mamy, nilienda kule, nawe fungua uone
Hivi ndivyo tunapaswaa tuishi katikaa upendo wa kwel na sio drama kwenye mambo ya msingii kama hayaaWatu wamependana sana hawa...hadi mimi nawafurahia..
mshauri basi abadili hilo jinaAsante...hongera hii aione mpenzi@jambilo

La msingi muheshimu na mpende kwa moyo wako wotee kwan nn ww unayeweza bomoa au kujengaa nyumba yakooooAsante...hongera hii aione mpenzi@jambilo
Na kwel hlo jinaaa n jibu hebu litumbuenimshauri basi abadili hilo jina![]()
![]()

Its from the inner most part of myself, the sizzya007 residing within my heart.
He wants u to knw that you are about to land in the world's most protective hands, you will be loved and care for like a golden rose in a king's palace.
He wants u to knw kuwa he will sometime make u bend, but he will never let u break. Never will he give u more than u can take.
with love
The inner sizzya007
nikumbushe replies zikfika 20k nikupe jibu lako

Maana hakuna namna sasaHaaaa![]()
ndo unamfanyiaa nn hvyoo swahiba wangu
Ha ha haaaa..unamchokoza mtumishi ujueeeh akikupigia maombi utakuwa jiwe..shauri yakomshauri basi abadili hilo jina![]()
![]()
Namheshimu sana,mwenyewe anajuaLa msingi muheshimu na mpende kwa moyo wako wotee kwan nn ww unayeweza bomoa au kujengaa nyumba yakoooo
Daaaaa yaaan n akatweeee tuuuuuMaana hakuna namna sasa
![]()
![]()
![]()
![]()
nikumbushe replies zikfika 20k nikupe jibu lako
Maana sio kwa mashairi hayo![]()
![]()
Mjue mnanichekesha sana,kidogo mate yanipalie...samahanini sana na mpenzi wangu jambiloNa kwel hlo jinaaa n jibu hebu litumbueni![]()
![]()
![]()
Chekaa tu mkuu si unajuaa maisha yenyewe hayaa mafupi ukiwa ciriaz nayo ni jangaa piaaaMjue mnanichekesha sana,kidogo mate yanipalie...samahanini sana na mpenzi wangu jambilo
Mkuu mtakaa cha uvunguni sharti ainamee sasa wewe nyanyua kitandaa udondoshee vitu😱😱😱😱 he is puzzled and confused!
Swirr heartEti unamwitaje tena mpenzi wako? Patience123
Yaani linapendezaa ajabu...usifanye mchezo,ni vile jf hakuna kitufe cha sauti..ungesikia namna jina la beybi wangu linavyokonga moyo nikiita kimahaba.ebu Ita hilo jina kimahaba uone linavosound vibaya![]()
![]()
NajuaNamheshimu sana,mwenyewe anajua