sammoo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 701
- 1,604
Ebu anzaa kwanguu nioneeeeNyie si hadi mtongozwe ndio mnaelewa... sasa ngoja nianze kuwalia mingo...
Watoto wazuri jimena, lizzbettie, cute b, nahrene sukari yenu nimefikaaaa

Natamani kuona watu wakitoka katika miili miwili na kuwa mwili mmoja na hakika hii hapa kwenu inaleta matumain..Yani una maono sanaaa
Yes iam.......Baridi tu....mie naomba jimena hata akinikubali leo amezee jibu aje kulitoa siku tukihiti our target, post zikiwa 20k ndo anipe jibu.
Jimea u ready for this babe?!
Nimefurahi kusikia hivyo...Nipo salama manuu.
Wakati mwenyewe una lyrics tamu padre atasubiri sanaAcha kunipangia mtogozo brodaaa😀😀😀
Sawa naanza.....sema suuu..nikufungukieEbu anzaa kwanguu nioneeee
Shikamoo... Mi mwenyewe mtotoHujambo? Wapi mwanao?
Nimefika![]()
tayari kwa kuupokea
Hainaa hajaa ya suuu we nipigee mistarii nikikuelewaaa utaishi ndan ya moyoo wangu siku zotee za maisha yanguSawa naanza.....sema suuu..nikufungukie
Pakua tena mkuuHaswaa...mpaka sasa nang'ara kwa niliyoyakuta.
Umempendaaa HaswaaaNamtafuta sana huyu beybi jamani...popote utakapomuona mwambie ni bado robo saa tu nife kwa ajili yake.
Zab 118:17 inasema..Hutakufa bali utaishi na utayasimulia matendo ya mwenyezi Mungu..Nami nakutamkia baraka zake zikufunike na zimfunike jambilo dhidi ya macho mengi ya husda juu yake na wewe sema Ameni...Mama mtumishi..Namtafuta sana huyu beybi jamani...popote utakapomuona mwambie ni bado robo saa tu nife kwa ajili yake.
Mkuu habari za leonipo anko![]()
namuangalia tu
Amina mwinjilistiZab 118:17 inasema..Hutakufa bali utaishi na utayasimulia matendo ya mwenyezi Mungu..Nami nakutamkia baraka zake zikufunike na zimfunike jambilo dhidi ya macho mengi ya husda juu yake na wewe sema Ameni...Mama mtumishi..
Eti unamwitaje tena mpenzi wako? Patience123Pakua tena mkuu