Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Naona kama nimechoka kusubiri.Oooh sumu ya panya, unamwitaji Yesu wewe
Naona kama nimechoka kusubiri.Oooh sumu ya panya, unamwitaji Yesu wewe
Nilikwenda kuomba kwa ajili ya mtumishi...ili macho yake yatulie kwangu tu,si unajua shetani anawawinda watu wa bwana?Hahahahah wacha nitumie kipaza sauti kumtafuta maana huku watu hawaaminiki kabisa... Patience123 popote ulipo unahitajika hapa..
Wafunge na kuomba tafadhali maana dua zikiwa nyepesi itakuwa rahisi kusambaratikaKabisaaa!! Na dua zihusike wajamani....
Pole sana.Kweli aisee nshachaji Faith1 yangu Mara nne sasa Na sijasoma page kibao..
Sumu ya panya iwe kali tafadhaliHakishuki kabisa nimeamua kuacha,labda nijaribu sumu ya panya.

Am here for you my hearttaker,sema nikuakie honey..Manuu cimuoni my angel
Nipo salama manuu.Nakusalimu cute b long tym sana upo poa?
Nafarijika kwa hii couple hakika..Am here for you my hearttaker,sema nikuakie honey..
Kwahyo tumtumbueee tuuuhi ndo ile mishahara hewa tunayopinga kila siku ...
Sawa mamaSumu ya panya iwe kali tafadhali
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
like basiPoint![]()
![]()
![]()
![]()
Hii nimeipenda, kizuri kula na nduguyoCute B kwa kukujua na huruma yangu tu ntakupa nafasi ya side chick ila the man woman ni jimena...😀😀
Namtafuta sana huyu beybi jamani...popote utakapomuona mwambie ni bado robo saa tu nife kwa ajili yake.Hakika bwana amempa mtumishi kilicho bora sana mtumish njoo hapa umetoka jambilo