Makapuku Forum

Sio saa, ni siku 3, yani hizo siku 3 unakuwa ni mtongozo heavy ambao haujawahi kutokea toka huu uzi uwekwe

Baridi tu....mie naomba jimena hata akinikubali leo amezee jibu aje kulitoa siku tukihiti our target, post zikiwa 20k ndo anipe jibu.

Jimea u ready for this babe?!
 
Hhahahahahaahah wacha nimyamaze maana nikisema ndoa mpya yaweza sambaratika kabisa....
Teh teh teh..inaanzaje kusambaratika kwa mfano?wakati nimeng'ang'ania kama superglue? Hapa nitabanduka na ntu.
 
Hajapata bado sema anakuvutia kasi this time akija lazima umkubalie maana kaenda pangani kuchukua dawa
Ndio maana huku leo mshana hayupo..
Mshana taaafadhali usiniroge nimechoka kila siku unakula papuchi yangu bure tena kimazingara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…