Wazima dear..... Ulipotea?Wazima humu
Karibu mpendwa uliadimika sanaNyie si hadi mtongozwe ndio mnaelewa... sasa ngoja nianze kuwalia mingo...
Unaniita bibi ili nikose mchumba? Sasa ngojaCute bibi njoo utoe specificationz zako hapa😀😀😀😀
Aisee wewe kweli ni Jungle WarriorSisi wengine huku kwetu saa hizi ni asubuhi
Leo weekend nilikuwa nina udobi wa haja.Wazima dear..... Ulipotea?
Hajaja na yeye sijui kapata siku hizi hajagiMshana Jr hajaja usiku?
ndiyoo ...leo nadhani nitakuwa inchargeHapo safi
Watu kama nyie mnahitaji maombi sana, wanaume huwa wanaogope wenye confidence kama wewe mkuuNyie si hadi mtongozwe ndio mnaelewa... sasa ngoja nianze kuwalia mingo...
ushanipata ata wakuite kikongwe poa tuUnaniita bibi ili nikose mchumba? Sasa ngoja
Hakishuki kabisa nimeamua kuacha,labda nijaribu sumu ya panya.Hehehehehehe kazi kweli kweli!
Umeshakula?
Dada angu upo?Mshana Jr hajaja usiku?