Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia:

Sina la ziada, tukutane kesho.
*
Screenshot_2016-10-12-11-26-31.png
Screenshot_2016-10-12-11-26-16.png
Screenshot_2016-10-12-11-26-42.png

Nyongeza
**********
Leo ni siku ya kuzaliwa Ledley King
Ni beki wa zamani na nahodha wa Tottenham na pia aliichezeaTimu ya Taifa ya England

Alizaliwa Oct 12 1980
..........
 
1949 - Carlos the Jackal anazaliwa.

Ni gaidi aliyetikisa Dunia miaka ya 1970's na aliisumbua sana Ufaransa. Ni mzaliwa wa nchini Venezuela.

Alikamatwa huko Sudan akiwa anaongeza nguvu za kiume.

Kwasasa anatumikia kifungo cha maisha huko Ufaransa.

Kuna stori nyingi sana za magumashi kitaa eti alimla Malkia Elizabeth bila kushtukiwa.
Teh teh teh!! Ubabe wote hana nguvu za ukidume[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom