Makapuku Forum

Makapuku Forum

1973 - Rais Richard Nixon wa Marekani anampendekeza Gerlad Ford kuwa Makamu mpya wa Rais akichukua nafasi ya Spiro Agnew.

Makamu wa Rais Ford baadae anakuja kuwa Rais baada ya Nixon kujiuzulu. Anabaki kuwa mtu pekee kuwa Makamu wa Rais na Rais ambaye hakuchaguliwa kwa kura za wananchi.
IMG_20161012_101440.jpeg
IMG_20161012_101431.jpeg
Screenshot_2016-10-12-10-14-15.png

Kitu nyota tu
.....
 
Malkia angepigwa kitu walahi waingereza wangemuua hata huko gerezani.
Hapo nakubaliana na wewe. Malkia hakupigwa mafuta na huyu jamaa.

Ila kuna jamaa mmoja aliwahi kuingia makazi ya Malkia pale Buckingham Palace na kuzama mpaka katika chumba anacholala Malkia kabla ya kushtukiwa na vyombo vya usalama.
 
Binadamu ni noma, watu wako very bright mtu kazama Palace bila kuonekana/kushtukiwa!!!
 
Back
Top Bottom