MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
Moningi shululuMorning all
Moningi shululuMorning all
Morning all
Moningi Makapuku famili
Morning!!Goodmorning family
Morning, vp tra hawajatia timuMoningi shululu
Vp AnkaliMorning!!
Tunashirikiana nao vizuri sana mkuu hahahahahaMorning, vp tra hawajatia timu
😛😛😛🙂🙂🙂na Mimi ni kapuku mkuuWewe unakuja kudowea Magazeti yetu, tunasubiri uondoke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]Siku ya 5 hii kimya
Maji yamezidi unga yaani alikuwa anapikia ugali kwenye pipa halafu unga(uelewa) kilo mbili
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Kumbe na wewe ni Kapuku sikujua mkuu hahahahaha😛😛😛🙂🙂🙂na Mimi ni kapuku mkuu
[emoji134] [emoji134] [emoji134] muda wa kuweka mizani uone kama malengo ya mwaka huu yamefanikiwa kwa kiasi gani[emoji17]Leo katika Historia:
Ni Oktoba 12, zimebaki siku 80 kabla ya mwaka huu kuisha.
1960 - Watazamaji wa Televisheni nchini Japan,katika hali isiyotegemewa washuhudia mauaji ya kiongozi wa chama cha Kijamaa nchini humo Inejiro Asanuma aliyekuwa anahutubia live kwenye televisheni.
WaVietnam waliwachapa shaba wamarekani mpaka wakasema pooh[emoji23]1970 - Rais wa Marekani wa kipindi hiko, Richard Nixon anatoa kauli ya kupunguza wanajeshi 40,000 kutoka katika Vita ya Vietnam kabla ya Sikukuu ya Krisimasi.
Vita hiyo maarufu ya Miaka ya 1960 - 1970 ilipigwa katika misitu minene hali iliyopelekea Wamarekani kushindwa vibaya vita hiyo ya mSituni.
Fresh tu ankaliVp Ankali
Haha nani kakuteua??😛😛😛🙂🙂🙂na Mimi ni kapuku mkuu
1968 - Guinea ya Ikweta yapata Uhuru wake toka kwa Hispania.