Makapuku Forum

Makapuku Forum

129ae25fda5226678352e48903f2138f.jpg
1bf281c1a59b731925090de96a05df03.jpg

View attachment 416573View attachment 416574View attachment 416576View attachment 416577View attachment 416578View attachment 416579
Tuwe tunasoma vitabu mtandaoni badala ya kuangalia picha za [emoji777]
Cc Kikofia
.............
Huyu hatumuwez.. Kikofia ni adikted mbaya vibaya mnoo...
 
*View attachment 416666View attachment 416667View attachment 416668
Nyongeza
**********
Leo ni siku ya kuzaliwa Ledley King
Ni beki wa zamani na nahodha wa Tottenham na pia aliichezeaTimu ya Taifa ya England

Alizaliwa Oct 12 1980
..........
sawa mkuu.

Huyu alikuwa na jeraha sugu la goti hali iliyomfanya awe anafanya mazoezi peke yake tofauti na wenzake.
Alikuwa na kipaji kikubwa sana ila tatizo ni majeruhi wa mara kwa mara " Injury prone "
 
Kuna mgonjwa Wa matatizo ya akili kule Mirembe alimkimbiza daktari huku ameshika kisu kikali. Daktari alikimbia sana huku akiwa na hofu kuu. Hatimaye, akafika mahali ambapo hakukuwa na njia ya kupita, akapiga magoti na kusema sala ya mwisho.Yule mgonjwa akamkaribia kabisa na kumwambia....Ni zamu yako sasa.Nikimbize.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom