Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,298
BnjGoodnight family
BnjGoodnight family
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Morning all
Nzuri sana1999 - Jenerali Pervez Musharaff anaingia madarakani nchini Pakistani baada ya mapinduzi ambayo hayakumwaga damu.
Wako njianMorning, vp tra hawajatia timu
SawaLeo katika Historia:
Ni Oktoba 12, zimebaki siku 80 kabla ya mwaka huu kuisha.
1999 - Jenerali Pervez Musharaff anaingia madarakani nchini Pakistani baada ya mapinduzi ambayo hayakumwaga damu.
Pervez ni jina la kiislam?1999 - Jenerali Pervez Musharaff anaingia madarakani nchini Pakistani baada ya mapinduzi ambayo hayakumwaga damu.
HakikaAcha masihara aisee
Mbaya sana1960 - Watazamaji wa Televisheni nchini Japan,katika hali isiyotegemewa washuhudia mauaji ya kiongozi wa chama cha Kijamaa nchini humo Inejiro Asanuma aliyekuwa anahutubia live kwenye televisheni.
Bonju monamii
Msituni ngedere ndo mshindi1970 - Rais wa Marekani wa kipindi hiko, Richard Nixon anatoa kauli ya kupunguza wanajeshi 40,000 kutoka katika Vita ya Vietnam kabla ya Sikukuu ya Krisimasi.
Vita hiyo maarufu ya Miaka ya 1960 - 1970 ilipigwa katika misitu minene hali iliyopelekea Wamarekani kushindwa vibaya vita hiyo ya mSituni.
Jenerali wa kuunga unga, nilicheka sana kwenye kesi jinsi alivyowakimbia polis wakati wapo mahakamani1999 - Jenerali Pervez Musharaff anaingia madarakani nchini Pakistani baada ya mapinduzi ambayo hayakumwaga damu.
Chuma lady1984 - Waziri Mkuu wa Uingereza Bibi Margaret Thatcher " Iron Lady " ananusurika kuuwawa katika bomu lililotegwa katika Hoteli ya Brighton.
Sawa1986 - Malkia Elizabeth wa II anatembelea Jamhuri ya watu wa China.
Du, ni wabongo wanazusha au huko Duniani1949 - Carlos the Jackal anazaliwa.
Ni gaidi aliyetikisa Dunia miaka ya 1970's na aliisumbua sana Ufaransa. Ni mzaliwa wa nchini Venezuela.
Alikamatwa huko Sudan akiwa anaongeza nguvu za kiume.
Kwasasa anatumikia kifungo cha maisha huko Ufaransa.
Kuna stori nyingi sana za magumashi kitaa eti alimla Malkia Elizabeth bila kushtukiwa.
1949 - Carlos the Jackal anazaliwa.
Ni gaidi aliyetikisa Dunia miaka ya 1970's na aliisumbua sana Ufaransa. Ni mzaliwa wa nchini Venezuela.
Alikamatwa huko Sudan akiwa anaongeza nguvu za kiume.
Kwasasa anatumikia kifungo cha maisha huko Ufaransa.
Kuna stori nyingi sana za magumashi kitaa eti alimla Malkia Elizabeth bila kushtukiwa.