Makapuku Forum

Makapuku Forum

1476257128429.jpg
1476257145564.jpg

Kwa hisani ya Manji ndio naondoka kama ifuatavyo.
Niite Jimena Jimenes
Asanteni sana
 
Hapo nakubaliana na wewe. Malkia hakupigwa mafuta na huyu jamaa.

Ila kuna jamaa mmoja aliwahi kuingia makazi ya Malkia pale Buckingham Palace na kuzama mpaka katika chumba anacholala Malkia kabla ya kushtukiwa na vyombo vya usalama.
Mtu akiingia namna hiyo mpaka ndani, mimi huwa namuona ni shujaa sana
 
Ilitokea kwa bahati mbaya.

Mfano leo hii Lowassa awe anahutubia pale Jangwani halafu sisi tupo huku Katavi tunaangalia hotuba ile live kwa kutumia luninga, ghafla akapigwa shaba akfa huku tukiona live.

Au kama ile siku JK alipodondoka jukwaani pale Jangwani, watu walikuwa wanaangalia kupitia Luninga hivyo ikazua taharuki kubwa.
Dah! Angetunguliwa lowasa wallah pasingetosha... [emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom