Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahahaha yule si wa kubishana nae kama huijui vizuri mada husika na hauna hata uthibitisho, kuna siku alimyamazisha memba mmoja kuhusu kitu ambacho mi nakijua sana afu akaenda mulumule kama nijuavyo... Ndo nikajua jamaa huwa anajipanga sana atakua anachimba kwanza ndo anabishana
Silaha yake kubwa mlozi ni kusingizia amefanya au anafanya kila kitu
*artheism
*Mambo ya magari
*Buddhism
*Mochwari
*Kiwandani
*Biashara
*Ulozi
n.k
Yaani akipingwa au akitaka kuchangia mada anazuga kwamba kabobea kwenye hicho kitu matokeo yake anajisahau na sasa keshataja fani zaidi ya 10
Mi nimemshtukia kwamba mwongo tu hukopi vitabu na hajui mambo ya ziada ndo maana kukopi historia anayoleta Mussolin anachemsha na kuvurunda tu

Hivyo "Katanga" kuizima tunguli ilikuwa simple
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
...........
 
images
images
Senkyuu ze buku
 
Back
Top Bottom