Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aliyemuua J.F.Kennedy alikuwa anaitwa Lee Harvey Oswald. Inasemekana alipata mafunzo yake Russia chini ya shirika la ujasusi la nchi hiyo KGB.

Mlinzi Clint Hill kutoka Secret Service, aliyekuwepo gari la nyuma ya Rais na ambaye alifika kuwakinga Rais na Mkewe mara baada ya Risasi ya kwanza kupigwa anasema mpaka leo kitu pekee anachojuta ni kushindwa kwake kumuokoa Rais.

Anasema laiti kama angeisikia vizuri risasi ya kwanza angeweza kufika kwa wakati na kumuokoa.
Ilipangwa na Elites, sema huyo Oswald ni noma kwa shabaha!!!
 
Kuna thread kamnyamazisha Mlozi hadi huruma akabaki kupost emoji tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
......
.......
Hahahaha yule si wa kubishana nae kama huijui vizuri mada husika na hauna hata uthibitisho, kuna siku alimyamazisha memba mmoja kuhusu kitu ambacho mi nakijua sana afu akaenda mulumule kama nijuavyo... Ndo nikajua jamaa huwa anajipanga sana atakua anachimba kwanza ndo anabishana
 
Back
Top Bottom