MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
Familia ya Makapuku hahahahahaMkwepa kodi umekrem neno kapuku zaidi, huku twaitana family
Familia ya Makapuku hahahahahaMkwepa kodi umekrem neno kapuku zaidi, huku twaitana family
Namjua kama Genda Heka hahahahahaInaelekea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Namjua kama Genda Heka hahahahaha
HahahaaUnataka anitoboe macho hahahahaha
Ni poa sana ankali, vipi huko ndani ya furnace(dsm)?Nzuri mkuu briz, habari za mbeya
Haha kuna ile route ya sinza-k/koo via kwa mtogole ni hatari [emoji3][emoji3][emoji3]... raia wamepinda na maisha,... Full ukichaa [emoji23][emoji23]Ni kweli, ukitaka kujua ukiwa kwenye bus au daladala watu wanavyoongea na simu, ndio utajua viwango vya ukichaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bishoo mzeeNa wewe hutaki kuzeeka? Kama baba yake duli, mpaka anakufa hajakubali kama kazeeka
Basi bado tuko kwenye ujima [emoji4][emoji4]Technology yetu niya miaka ya 640 huko, ya 1980 mpaka sasa hatujaifikia na hatuna uwezo wa kuifikia
Dar tuko poa kabisaNi poa sana ankali, vipi huko ndani ya furnace(dsm)?
Haha lakini mkuu kichaa sio lazima aokote makopo mitaaniHao wasemao hivyo waeleze vichaa vyao kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona ndo kaamua kuifanya signature yakeMkwepa kodi umekrem neno kapuku zaidi, huku twaitana family
Nawaona vichaa mnabishanaHaha kuna ile route ya sinza-k/koo via kwa mtogole ni hatari [emoji3][emoji3][emoji3]... raia wamepinda na maisha,... Full ukichaa [emoji23][emoji23]
mmh