Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,298
YupoJonax atakuja hivi karibuni
YupoJonax atakuja hivi karibuni
Vipi ile segment yake anaendelea nayo?Silaha yake kubwa mlozi ni kusingizia amefanya au anafanya kila kitu
*artheism
*Mambo ya magari
*Buddhism
*Mochwari
*Kiwandani
*Biashara
*Ulozi
n.k
Yaani akipingwa au akitaka kuchangia mada anazuga kwamba kabobea kwenye hicho kitu matokeo yake anajisahau na sasa keshataja fani zaidi ya 10
Mi nimemshtukia kwamba mwongo tu hukopi vitabu na hajui mambo ya ziada ndo maana kukopi historia anayoleta Mussolin anachemsha na kuvurunda tu
Hivyo "Katanga" kuizima tunguli ilikuwa simple
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
...........
Anaendelea nayoVipi ile segment yake anaendelea nayo?
hahahaa...Yule jamaani mshuzi sanaa, yani ukimgonga swali utasikia akisema"nadhani hii mada yangu hukuielewa vizuri"
Na ukishaoa hvyo ujue basi kisu kimegonga mfupa hvyo shindilia hapo hapo
ngoja nikasome nichekeAnaendelea nayo
[emoji40] [emoji40] [emoji40]Baada ya kuiona umechukua hatua gani
[emoji2] kifuatacho ilikuwa ni ITV hivyo akasoma alama za nyakati[emoji23] Why ame[emoji125] [emoji125]
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji22]Miss uu kongolize
Ameitelekeza baada ya kushindwaVipi ile segment yake anaendelea nayo?
Ewaa uko raitGenius ni kichaa,kwani hayuko normal kiakili,yaan amepitiliza.
Jonaa hajafanya poa pale alipomwambia haya rudi KF[emoji23]Jonax umemuumbua dadangu swt p
Siku ya 5 hii kimyaVipi ile segment yake anaendelea nayo?
🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁Siku ya 5 hii kimya
Maji yamezidi unga yaani alikuwa anapikia ugali kwenye pipa halafu Inga(uelewa) kilo mbili
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
UmeuaYule jamaani mshuzi sanaa, yani ukimgonga swali utasikia akisema"nadhani hii mada yangu hukuielewa vizuri"
Na ukishaoa hvyo ujue basi kisu kimegonga mfupa hvyo shindilia hapo hapo
Mabangi yake yanaharibu ubongo plus msuguano wa chiniJonaa hajafanya poa pale alipomwambia haya rudi KF[emoji23]
Aaah!!![emoji18] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hapana, twaelekezana tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Siku ya 5 hii kimya
Maji yamezidi unga yaani alikuwa anapikia ugali kwenye pipa halafu Inga(uelewa) kilo mbili
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Niambie papaAaah!!![emoji18] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kidogo utukane[emoji134]Nataka upone uchaa wako ka lipumbo