Makapuku Forum

Makapuku Forum

Silaha yake kubwa mlozi ni kusingizia amefanya au anafanya kila kitu
*artheism
*Mambo ya magari
*Buddhism
*Mochwari
*Kiwandani
*Biashara
*Ulozi
n.k
Yaani akipingwa au akitaka kuchangia mada anazuga kwamba kabobea kwenye hicho kitu matokeo yake anajisahau na sasa keshataja fani zaidi ya 10
Mi nimemshtukia kwamba mwongo tu hukopi vitabu na hajui mambo ya ziada ndo maana kukopi historia anayoleta Mussolin anachemsha na kuvurunda tu

Hivyo "Katanga" kuizima tunguli ilikuwa simple
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
...........
Yule jamaani mshuzi sanaa, yani ukimgonga swali utasikia akisema"nadhani hii mada yangu hukuielewa vizuri"
Na ukishaoa hvyo ujue basi kisu kimegonga mfupa hvyo shindilia hapo hapo
 
[emoji2] leo nmecheka sana baada ya kumuona Sweetiepie amekuja kwenye jukwaa la intelijensia kuchangia mada iliyopo, mara Ki,ranga akatokea na kuanza kumshambulia Sweetiepie kwa maswali..

Kilichofuata kwa Sweetiepie kilikuwa ni hiki[emoji116]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Hahahaaaaaaaaa![emoji23]
[emoji23] Why ame[emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom