Makapuku Forum

Makapuku Forum

Watoto wengi wa vigogo ni mapepe na wazinzi shida yao ni mapenzi tu siyo pesa

Duh mi alinidaodia sana coz nilikuwa napikiwa tu mapochopocho wakati home wanatumia pesa ya wali ndondo nolirudi likizo wanashangaa sijakonda
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Hii fursa naitamani ije tena sema sidhani maana yule manzi saiv atakuwa kaolewa
Ila kama vipi kikimuwasha nipo maana hakunaga ushemeji.
 
Afu we nae umeyaleta huku ya nini....[emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji23] mm nlikuonya mapema kuwa kule hautapaweza, alafu jamaa akawa anakomaa na ww
[emoji23] eti ukajibu "hivyo hvyo" jamaa na yeye akakupiga tena swali hapo hapo
[emoji2] kule mpaka uombe Poo ndo wanakuachia, la sivyo labda mbio zako zikuokoe[emoji125] [emoji125]
Huoni nilivyomjibu....we kiranga uache kiranga chako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji2] leo nmecheka sana baada ya kumuona Sweetiepie amekuja kwenye jukwaa la intelijensia kuchangia mada iliyopo, mara Ki,ranga akatokea na kuanza kumshambulia Sweetiepie kwa maswali..

Kilichofuata kwa Sweetiepie kilikuwa ni hiki[emoji116]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Hahahaaaaaaaaa![emoji23]
Hahahaha lakini yule jamaa hakuna wa kubishana nae anaweza kubishana na JF nzima [emoji4]
 
Sa hv nmepata demu hvyo nmepumzika kwa muda
[emoji2] [emoji2]
tapatalk_1476211641582.jpeg

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
 
[emoji23] mm nlikuonya mapema kuwa kule hautapaweza, alafu jamaa akawa anakomaa na ww
[emoji23] eti ukajibu "hivyo hvyo" jamaa na yeye akakupiga tena swali hapo hapo
[emoji2] kule mpaka uombe Poo ndo wanakuachia, la sivyo labda mbio zako zikuokoe[emoji125] [emoji125]
Amini usiamini niliingia mule kimasoma....hii simu ilini mislead...[emoji53][emoji53]
 
Back
Top Bottom