Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hakika ni yeye.

Pia kwa heshima yake klabuni Man Utd wamejenga mnara nje ya uwanja wa Old Trafford.

Mnara huo unajulikana kama " The United Trinity " ukiwahusisha wachezaji watatu mashuhuri ambao ni Bobby Charlton, Denis Law na Chapombe George Best.
IMG_20161011_212734.jpeg
IMG_20161011_212746.jpeg
IMG_20161011_204753.jpeg
Screenshot_2016-10-11-21-25-02.png

Wote ni TOP SCORERS
.........
 
Hapana mkuu nilimwimbishaga kibishi tena kipindi hicho nikiwa na simu za kichina zile ambazo ukitouch kioo unatumia nguvu utafikiri unabonyeza halafu yeye alikuwa na Samsung ya ukweli kubwa lakini alinipa # na presentation tulikuwaga tunawekwa group 1
Sisi masela wa Uswaz wabishi
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
..............
[emoji41] haya Tozi Nyangema
 
Mimi mkuu sikua nimepinda kivile ila naamini huu ukuni huku chini uliniweka kwenye game.
Hawa naona walikua wanaambiana mimi mwishi wa siku sio nilikula nyapu tuu bali hadi tiGO nitafuta ya geti kali wa Mh...

Na poketi money aliyokua anapewa nilikua namtunzia
Watoto wengi wa vigogo ni mapepe na wazinzi shida yao ni mapenzi tu siyo pesa

Duh mi alinidaodia sana coz nilikuwa napikiwa tu mapochopocho wakati home wananitumia pesa ya wali ndondo nikirudi likizo wanashangaa sijakonda
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
 
Missing you my shem....au mmeenda wapi na dada yangu?[emoji4]
[emoji2] leo nmecheka sana baada ya kumuona Sweetiepie amekuja kwenye jukwaa la intelijensia kuchangia mada iliyopo, mara Ki,ranga akatokea na kuanza kumshambulia Sweetiepie kwa maswali..

Kilichofuata kwa Sweetiepie kilikuwa ni hiki[emoji116]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Hahahaaaaaaaaa![emoji23]
 
[emoji2] leo nmecheka sana baada ya kumuona Sweetiepie amekuja kwenye jukwaa la intelijensia kuchangia mada iliyopo, mara K,iranga akatokea na kuanza kimshambulia Sweetiepie kwa maswali..

Kilichofuata kwa Sweetiepie kilikuwa ni hiki[emoji116]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Hahahaaaaaaaaa![emoji23]
Huoni nilivyomjibu....we kiranga uache kiranga chako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji2] leo nmecheka sana baada ya kumuona Sweetiepie amekuja kwenye jukwaa la intelijensia kuchangia mada iliyopo, mara K,iranga akatokea na kuanza kimshambulia Sweetiepie kwa maswali..

Kilichofuata kwa Sweetiepie kilikuwa ni hiki[emoji116]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Hahahaaaaaaaaa![emoji23]
Afu we nae umeyaleta huku ya nini....[emoji36][emoji36][emoji36]
 
Watoto wengi wa vigogo ni mapepe na wazinzi shida yao ni mapenzi tu siyo pesa

Duh mi alinidaodia sana coz nilikuwa napikiwa tu mapochopocho wakati home wanatumia pesa ya wali ndondo nolirudi likizo wanashangaa sijakonda
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Hahahaha eti hela ya wali ndondo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom