MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
Hiyo picha ya siku nyingi kwa sasa atakuwa amezeekaHuyu Don King hazeeki?
Hiyo picha ya siku nyingi kwa sasa atakuwa amezeekaHuyu Don King hazeeki?
Leo ni siku ya mtoto wa kike Duniani.
Mke wangu ana miaka 17, si unajua sheria ya ndoa ya Tanzania inaruhusu mpaka miaka 14 hahahahahasio mke ni mtoto wa kike yaaan chini ya 18
Aliyemuua J.F.Kennedy alikuwa anaitwa Lee Harvey Oswald. Inasemekana alipata mafunzo yake Russia chini ya shirika la ujasusi la nchi hiyo KGB.Rais halafu mcheza muvi! Nimeipenda hii.....Ila yule jamaa aliemdungua Kennedy alikuwa noma!
pamoja kiongozi.Asante kapuku
Mkuu hii shu ya ukichaa imekaaje? naskia watz tulio wengi ni vichaa tumetofautiana viwango tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Vichaa, tukutane tena kesho.
Jumanne njema.
Nashukuru kwa kunipa moyoHapo utakuwa umemuenzi ipasavyo
Kweli aiseeBaada ya tukio hili, Mfumo wa ulinzi wa Rais wa Marekani ukabidilishwa na ikiwemo kuweka damu ya dharura ( akiba ) ndani ya gari analopanda Rais ili ikitokea dharura kama hiyo Rais apatiwe huduma ya kwanza.
Maana Rais Reagan alivuja sana damu na kama isingekuwa hospitali ya karibu angepoteza uhai.
Kumuenzi kwa kuku!!!!Hapo utakuwa umemuenzi ipasavyo
Unasema kweli?, asije kututoa ngeuShululu
Unambaka huyo.Mke wangu ana miaka 17, si unajua sheria ya ndoa ya Tanzania inaruhusu mpaka miaka 14 hahahahaha
Yaani kweli leo ni siku ya vichaaHata Cristiano Ronaldo amepewa jina la Ronaldo kwa heshima ya Ronald Reagan.
Jamaa alikuwa ni mcheza movie hodari. Aliyejaribu kumuua Rais alikuja kuachiwa huru baada ya kugundulika ana matatizo ya akili.
kwema mkuuHabari zenu watu wangu wa nguvu! [emoji112][emoji112][emoji112]
Mbakano wa hiariUnambaka huyo.
Mimi mwenyewe sio mpenzi wa mMovie za Bollywood ila Andhaa Kanoon ni nzuri sana itafute na kamwe hutojuta.
Hahahahaha muulize mwenyewe atakutajia hahahahahaAkaunti nyingine aitwaje?
Me mwenyewe nimesikia.Mkuu hii shu ya ukichaa imekaaje? naskia watz tulio wengi ni vichaa tumetofautiana tu viwango tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bongo huku angekufa hapo hapo.Kweli aisee
Nilikuwa tukio baya
Ingekuwa Bongo angeshavuta
.......
Wewe ndo umeanzisha malizia piaHahahahaha muulize mwenyewe atakutajia hahahahaha