MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
Kama yupo violentKichaa hufungwa!!!
Kama yupo violentKichaa hufungwa!!!
Nzuri KapukuHabari zenu watu wangu wa nguvu! [emoji112][emoji112][emoji112]
Ukweli ndio huo aliosemaukweli ni upi???si alichukua kule kwa De Lima
Ndio maana wanasema uzee mwisho chalinzeIli iweje?
Kila mtu hataki kuzeeka
.....
kweli uzee mbaya.Ili iweje?
Kila mtu hataki kuzeeka
.....
Wa kienyeji hahahahahaKumuenzi kwa kuku!!!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ukweli ndio huo aliosema
Ronald=Rinaldo kwa Kireno
Leonard= Leonardo
Mama wa Cristiano aliweka wazi kwamba kampa jina km heshima ya Ronald Reagan
.......
Soma vizuri sheria ya ndoa ya Tanzania acha kukurupuka hahahahahaUnambaka huyo.
HahahahahaMbakano wa hiari
Niliangalia kama 6hividuh,umeangalia movie ngapi weyeeeeeeee??
hahaha...Vichaa day.Yaani kweli leo ni siku ya vichaa
Wanavuma kila sehemu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
hahaha...sio wa lazima.Mbakano wa hiari
safi sana,aliyenidanganya mungu anamuonaUkweli ndio huo aliosema
Ronald=Rinaldo kwa Kireno
Leonard= Leonardo
Mama wa Cristiano aliweka wazi kwamba kampa jina km heshima ya Ronald Reagan
.......
Bongo wangekufa watu wengi sana maana walinzi wa Raisi wangepiga risasi randomlyBongo huku angekufa hapo hapo.
Aliyemuua J.F.Kennedy alikuwa anaitwa Lee Harvey Oswald. Inasemekana alipata mafunzo yake Russia chini ya shirika la ujasusi la nchi hiyo KGB.
Mlinzi Clint Hill kutoka Secret Service, aliyekuwepo gari la nyuma ya Rais na ambaye alifika kuwakinga Rais na Mkewe mara baada ya Risasi ya kwanza kupigwa anasema mpaka leo kitu pekee anachojuta ni kushindwa kwake kumuokoa Rais.
Anasema laiti kama angeisikia vizuri risasi ya kwanza angeweza kufika kwa wakati na kumuokoa.
Kweli mzee...Bongo wangekufa watu wengi sana maana walinzi wa Raisi wangepiga risasi randomly
Unadanganya ulimwengu huu wa teknolojiasafi sana,aliyenidanganya mungu anamuona