Makapuku Forum

Makapuku Forum

Watoto wa vivogo na majina feki....

Mimi nimebahatika kusoma pamoja na binti/mjukuu wake alikuwa anatumia jina halisi la NSUYA alikuwa ana mbwembwe anaendesha mkoko wao wa kishuana kuja nao Lushoto kutoka Dar halafu Semesta nzima anatambia hostel
Nilimvizia sana ni mrembo lakini andunje ana dimpoz + chura
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
hahaha...kwahiyo ulikula kwa macho?
 
Watoto wa vivogo na majina feki....

Mimi nimebahatika kusoma pamoja na binti/mjukuu wake alikuwa anatumia jina halisi la NSUYA alikuwa ana mbwembwe anaendesha mkoko wao wa kishuana kuja nao Lushoto kutoka Dar halafu Semesta nzima anatambia hostel
Nilimvizia sana ni mrembo lakini andunje ana dimpoz + chura
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ulimshindwaje huyo? Hao wenye mbwembwe hao ni maji maramoja
 
Pia ni mmoja kati ya wachezaji wanaotumia miguu yote miwili ipasavyo.

Alishinda kombe la dunia akiwa na mdogo wake Jack Charlton.
Screenshot_2016-10-11-20-22-47.png

Km sijakosea ni huyu niliona km wanafanana nikataka kuchanganya picha
........
 
NUKUU NO 1#

Ni vema kila taifa likafahamu, iwe ni taifa linalotutakia mema ama kinyume chake, kwamba tupo tayari kwa gharama yoyote

Kwa kubeba mzigo wowote, kwa kukabiliana na ugumu wowote, katika kuunga mkono au kupinga ili mradi tu kuhakikisha uhuru unatwaa nafasi yake popote


Maneno haya yalipata kutamkwa na aliyekuwa Rais wa Marekani, John Kennedy, January 20,1961

Kennedy alizaliwa Mei 29,1917 na kuuawawa November 22,1963
Huyu Rais aliniuma sana Historia yao...[emoji17][emoji17]
 
NUKUU NO 2#

Siasa mpya ya Bank ya Dunia ni kwamba maendeleo siyo tu majumba makubwa, viwanda vingi, magari mengi na fedha nyingi,
Bali ni umuhimu wa nchi kuona kuwa mali inagawanywa kwa haki na sawa kwa watu wote


Maneno haya yalipata kutamkwa na waziri wa fedha, David Msuya. October 2,1972 jijini Dar es salaam mara baada ya kurejea kutoka Uingereza na Marekani aliko hudhulia mikutano mbali mbali,
Msuya alizaliwa November 4,1931, amewahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania
Watugawanyishie basi hizo pesa
 
View attachment 416362
Km sijakosea ni huyu niliona km wanafanana nikataka kuchanganya picha
........
Hakika ni yeye.

Pia kwa heshima yake klabuni Man Utd wamejenga mnara nje ya uwanja wa Old Trafford.

Mnara huo unajulikana kama " The United Trinity " ukiwahusisha wachezaji watatu mashuhuri ambao ni Bobby Charlton, Denis Law na Chapombe George Best.
 
Mi nilikuwa pesa zao
Wanapenda mabishoo...tunaazima tu hadi sandals ili tukang'oe matoto makali
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Mimi mkuu sikua nimepinda kivile ila naamini huu ukuni huku chini uliniweka kwenye game.
Hawa naona walikua wanaambiana mimi mwishi wa siku sio nilikula nyapu tuu bali hadi tiGO nitafuta ya geti kali wa Mh...

Na poketi money aliyokua anapewa nilikua namtunzia
 
Back
Top Bottom