Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,299
Watakie vichaa wa kuf...c..u..fSina la ziada, nawatakieni siku maadhimisho mema ya siku ya vichaa
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Watakie vichaa wa kuf...c..u..fSina la ziada, nawatakieni siku maadhimisho mema ya siku ya vichaa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Sawa kichaa mwenzangu.
Jamaa noma sana huyu.1942 - Amitabh Bachchan anazaliwa.
Ni mkali wa filamu za Action toka nchini India.
Kwangu mimi ndio msanii mkali toka Bollywood.
Namkubali sana katika movie ya Andhaa Kanoon.
Aisee nilimruka kwenye leo ktk historia.
Sijamtendea haki, gwiji huyu wa soka wa Man Utd na timu ya taifa ya England.
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa Sir Robert " Bobby " Charlton, Mshindi wa kombe la dunia lililofanyika mwaka 1966 katika ardhi ya nyumbani kwao palepale Uingereza.
SijuiNani anaitwa akaubebe?????
Haaaahaaaa kichaa mwenzanguSawa kichaa mwenzangu.
Hapendi kutumia jina la Msuya kuwazuga watu,na watu wengi hawajuiMmoja kati ya watu wawili tu katika historia ya Nchi hii kushika wadhifa wa Uwaziri Mkuu kwa vipindi viwili tofauti.
Anatajwa tajwa sana na kuhusika katika kifo cha Edward Sokoine japo hakuna uthibitisho.
Pia mtoto wake wa kumzaa ambaye webgi hawajui kama ni mwanae kwa majina anayotumia Mh. Mathayo David Mathayo alishawahi kushika madaraka ya uwaziri katika Serikali ya awamu ya Nne ya Jakaya Kikwete.
Rooney kashauriwa aondoke man, lengo asiifikie record ya BobView attachment 416345
Man top scorersView attachment 416348
Premier League Top scorers
NB :
Rooney keshaongeza magoli
.........
Watoto wa vivogo na majina feki....
Mimi nimebahatika kusoma pamoja na binti/mjukuu wake alikuwa anatumia jina halisi la NSUYA alikuwa ana mbwembwe anaendesha mkoko wao wa kishuana kuja nao Lushoto kutoka Dar halafu Semesta nzima anatambia hostel
Nilimvizia sana ni mrembo lakini andunje ana dimpoz + chura
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Naona hapo ulitumia huu msemo baada ya kumkosaWatoto wa vivogo na majina feki....
Mimi nimebahatika kusoma pamoja na binti/mjukuu wake alikuwa anatumia jina halisi la NSUYA alikuwa ana mbwembwe anaendesha mkoko wao wa kishuana kuja nao Lushoto kutoka Dar halafu Semesta nzima anatambia hostel
Nilimvizia sana ni mrembo lakini andunje ana dimpoz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Hivi ni siku ya vichaa leo?Sina la ziada, nawatakieni siku maadhimisho mema ya siku ya vichaa
Yote yawezakana [emoji40][emoji40]Ukichaa wa kwamtogole umetokana harufu chafu
Yanakwepeka piaYote yawezakana [emoji40][emoji40]
Kama cha propesa, kwasabu mi najua kuna mstari mwembamba sana kati ya akili nyingi na ukichaa [emoji4][emoji4]Sasa kichaa kipi?
Tangulini malaika akaishi na shetani?JFK alikuwa na vision kubwa sana. Vizuri havidumu.
Shukrani MussoLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Vichaa, tukutane tena kesho.
Jumanne njema.
Mkuu nimekula sana mabinti wa hao ndugu nusu niwe mario ila nishaacha huu ujinga.Hapana mkuu nilimwimbishaga kibishi tena kipindi hicho nikiwa na simu za kichina zile ambazo ukitouch kioo unatumia nguvu utafikiri unabonyeza halafu yeye alikuwa na Samsung ya ukweli kubwa lakini alinipa # na presentation tulikuwaga tunawekwa group 1
Sisi masela wa Uswaz wabishi
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
..............
Naona wewe huzichukiii....[emoji51][emoji51][emoji51]Nachukia muvi za kihindi[emoji16]
Pia ni mmoja kati ya wachezaji wanaotumia miguu yote miwili ipasavyo.View attachment 416331View attachment 416334View attachment 416336
Kweli aisee
Ni gwiji ndio maana anaitwa SIR pia alitamba Man Utd na yupo Top scorers of all the time
.............